Nimuanzeje ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimuanzeje ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtazamaji, Nov 28, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

  Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

  Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

  Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

  Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .

  Nimuanzeje?

  Nawasilisha kwa ushauri nasaha
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280

  Ha ha ha pole mkuu unaweza kuanza kwa kumPM!
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  walai tena hii kali...teheehe...nishasikia watu wanazinguka na sauti kwenye simu..sauti redioni nk...sasa wewe unazinguka na comment!! maandishi! du! kaka.....we kiboko.
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Muanze kwa kumuuliza jinsia yake vinginevyo utahadaika. Wewe unatolea avatar udenda. Lol
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha lol ......
  kama ingekuwa ni we ungefanyaje??
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahaha lol kwa hiyo anaweza kawa dume lol
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aksante mkuu .Sasa kwenye PM Nisemeje?Zaidi ya mara tatu kila nikifungua window ya pm nakaa saa nzima bila kujua niandike nini? nianzeje. Je mtaaalam Unaweza kuni pm shairi gani nalozweza kuanza nalo. Nitashurkuru.

  Ach utani kaka yaani nimuulize wewe jinsia gani si nitakuwa nimearibu mwanzo kabisa. Ebu nipe wazohata kwa PM mstari wa kwanza kumuandikia uweje. Tusaidiane jamani. Sijawai kupata hisia hizi lazima atakuwa ni mdada tu. labda kam ana mwenza
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  duh pole,
  M-PM:A S-alert1:
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  am pm haya maneno
  m your secret admirer,
  Your the one I desire..
  From the first time i saw you comment, my feelins for you sparked like fire
  Please try to understand,
  Im afraid to let my feelins show,
  But I dont want to be left alone...
  I just want to hold you close and never let you go..
  But so far all I have are dreams of you
  I never thought it was possible to fall in love with you..
  Your so sweet and caring..
  I must be dreaming..
  Im your secret admirer,
  If only you knew that my love for you has been set on fire
  But im trying to be careful,
  I dont want to be left heartbroken..
  Im just your secret admirer,
  And thats all I'll ever be..
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekukubali uko tight kwa mashairi.. :hail:
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wao i was not expecting that..
  but wao your realy goood....
  yes sweety i will meet u at bibi Nyau place  Mtazamaji u should read this... myb get same idea ...
  but be careful myb she is merride..
  kuna pande mbili za shilingi.......
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aksante nakutunuku nishani ya Dr wa heshima kwenye fani ya mahusiano na mapenzi. Lakini nikitumia hiyo lugha nisiyokuwa na ufasaha nayo akinijibu kwa hiyo hiyo lugha si nitachemsha. Any way nitajitahidi kutafsiri hiyo mistari.

  Afrodenzi Am reading and interprating it in swahili.Dont be suprised and let me down may be wewe ndo mlengwa
   
 13. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  :ranger:
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mambo madogo sana hayo kama akikujibu kitu hajakielewa ingia google (Translate) mambo shwari.....All the best.
   
 15. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Duh! hii kali! yaani we mtazamaji comment tu zinakuchanganya!? OOps ila tupo wengi mkuu Mtazamaji! mmhh:A S wink:
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahha lol hata wewe lol..
  mbona hukuni julisha hilo ???
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mtazamaji kama lilivyo jina lako kama umeshindwa jinsi ya kuanza ni bora ulitumie jina lako kwa kuendelea kutazama tu! Jina mtazamaji leo unataka uaze kuchakachua huoni kazi uliyonayo ni kubwa? baki kama Mtazamaji tu
   
 18. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Simple like fighting with a drunkard. Ukimwona tu mwambie, "Ee bibie, fanya uzazi huo basi ........" Kwi kwi kwi kwi.
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  hahahahah lol i find that very funny....lol
   
 20. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Si unajua tena mambo ya kuvuta kasi! nataka kwenda kwa babu! nikirusha tu ndoana basi kitu na boxi! lol!!:ballchain:
   
Loading...