Chuki, Aibu, Laana; Dunia inafikia mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuki, Aibu, Laana; Dunia inafikia mwisho

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elli, Dec 2, 2010.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Habari za asubuhi wana jamvi,
  baada ya kuvumilia kwa muda mrefu nimeona niweke jambo hili mbele yenu, kwa baadhi itakua funzo lakini pia kwa wengine itakua wamepata pa kuanzia. Naliweka hili kwa maslahi ya jamii na halina ushabiki wowote ila ni habari ya kweli iliyotokea juzi jumamosi Mbezi- Dar es salaam.

  Ilikua majira ya saa tatu na kidogo hivi, nikiwa na rafiki zangu kwenye bar moja nzuri yenye pia Guest ( Hotel). Nikiwa namalizia maji yangu iliniondoke, alikuja Mama Mmoja ambaye kama dakika 45 zilizopita alikuwa amekaa na watu wengine watatu ( Mzee mmoja wa makamo, Binti wa about early twenties, na kijana naye mdogo lakini mkubwa kwa yule binti pamoja na huyu mama sasa) mwanzoni tuliwaona kama ilikua familia flani hivi, baada ya muda ndipo yule Mama aliondoka na kijana yule, akimuacha Yule Mzee na binti palepale, cha kushangaza ni baada ya dk 45 hivi huyu Mama alirudi huku akuulizia mmoja wa wafanyakazi wa pale ni wapi walipo Baba na yule binti?

  Bila hiyana, akamjibu walichukua chumba, wapo chumba kile...akionyeshea kidole upande ulipo vyumba, mara yule Mama akataharuki, ndo nikapata mvuto wa kufuatilia, akiwa na yule mhudumu, walifika hadi kwenye chumba na kugonga, mara mlango ulipofunguliwa kumbe ni Baba amelala na binti yake wanakula tunda.

  Sasa, Mama akazidi ku-panic na kuanza kubwatuka, kuwa muda akiondoka pale alipelekwa nyumbani na kijana wake wa kumzaa baada ya baba kudai kua, mama akapumzike amechoka, kufika nuymbani katika hali ya ulevi aliyokuwa nayo mama, alijilaza na ndipo kijana wake huyu wa kumzaa alitumia fursa hiyo kumwingilia kimwili mama yake, Mama huyu aliendelea kulalama kuwa alitoa kila aina ya ufundi akijua yuko na baba kumbe na mwanae, baada ya kupata fahamu katikati ya mechi ndo alimfurumusha yule kijana mama akarudi kwenda kumsemea kwa baba yake, just to find baba naye anamfaidi binti yake.

  Katikati ya vilio vya mama huyu ndipo kijana alipofika pale, bila kuulizwa, bila wasiwasi akasema Mama nimefanya hivyo kwa sababu Baba amekua akifanya mchezo mchafu na dadaangu siku nyingi. Baba alitaka alete vurugu lakini mtu mmoja, aidha ni Meneja au ndio mwenye hotel ile aliwaamuru wateja wengine waondoke yaano warudi kwenye nafasi zao na walinzi waliwaondoa pale.

  Jamani, ndugu zangu, naombeni sana, tuwaheshimu wazazi lakini na wazazi nao wawaheshimu watoto wao, sikutaka kuiweka hadharani but maybe It will save some lives and save the children of the world.

  Nawasilisha
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kama filamu ya kihindi hivi, sterling nae kauwawa!!!!!!!!!!
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Sijui kama ni filamu au sijui niiteje, but that is reality, dunia imeisha mpwa
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Simulizi za tungo tata!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Yes, ni ngumu kuelezea ikaingia maskioni mwa watu but whether one believe or not lakini hicho ndicho nilichokishuhudia kwa macho yangu mawili
   
 6. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  mh warangi nini hao!!!
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  sikuweza kujua lakini inaonekana ni familia yenye uwezo flani ivi
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 133
  haka kamchezo kama kalipangwa maana huyu kijana wa kiume statement yake inaonyesha kulikuwa na kamtego, hivi kweli mama nae hata kama ni pombe hakukumbuka kuwa mumewe kamuacha bar...................... huu ni usanii ,hapa kulikuwa na maridhiano pande zote nne
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Nilichosikia ndio hicho,, ndo maana nikasema kama vile kulikua na aina fulani ya chuki na visasi, lakini mwishowe ni Laana, ndio maana ya heading
   
 10. s

  seniorita JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hard to believe, tough to digest if it is truly a true event; abomination...is this a sign of end times or what!!!!!!mmmmhhhhhhhhh....
   
 11. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  dunia imeisha kaka,tumrudie muumba,maana nshawahi ona baba anamlilia wivu binti mpaka akashindwa muozesha na akagoma kuzungumza na mkwe mpaka mwanaume akaamua kumuacha mwanae,kwa mara ya kwanza kuingia kwenye nyumba ya mwanae ni kuja chukua mazagazaga ya mwanae akiwa na furaha ya ajabu.
   
 12. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  the end is near repent people!
   
 13. n

  ngoko JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya mengine hata Lucifer atashangaa yalitokea wapi siku ya kiama maana wanadamu wanayabuni wenyewe na kumtupia lucifer lawama. Mungu atusaidie
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Kusema ukweli baaada ya kukaa nyumbani, niliona hata machozi ya kikaribia kunitoka, hata mke wangu hakuamini, niliishiwa nguvu, nilitamani sana niitume muda mrefu but sikuwa na huo ujasiri, nilikua naskia tu but sijawahi ona kweli Baba ndo anamtafuna bintiye, sasa nimeamini.
   
 15. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #15
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sounds shirkin!!
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,272
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Na anayaogopa pia. Pengine Lucifer anajiuliza kuwa haya yametoka wapi maana hata yeye pengine hayajui au hayawezi
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hahaaaa hata sodoma na gomora wataitilia mashaka hii!
  najichukia kucheka coz nahisi nilitakiwa nihuzunike!
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mimi naendelea kulaumu watu wanaosingizia pombe yaani wewe ulewe mpaka ushindwe kutambua mb*** hii si ya mumeo sikubaliani na hili. Hii ni sawa na wale wazinzi wanavyomsingizia sheti kashafanya halafu nisamehe ni shetani kanipitia WIZI MTUPU hakuna kitu hapo bwana acheni kutudanganya. Mie wangu hata akiwa anapita sehemu nikamuona kwa nyuma nitamtambu sembuse ile kitu iingie ndani nisitambue si mzee uongooooooooooooooo
   
 19. Zneba

  Zneba Senior Member

  #19
  Dec 2, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini wawe ni warangi mana ndiyo mchezo wao au?
   
 20. Atoti

  Atoti Senior Member

  #20
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wana mapepo wote wa4.. How?? Yaani hainiingii akilini.
   
Loading...