Mliopendana nawatakia ndoa njema mliotamaniana namwachia mungu


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Wapendwa si haba kuwapongeza wawili wanaopenda na kuamua kuwa mtu mmoja ingawa roho bado mbili lakini uksoma kitabu chetu cha injili unakuwa mwili mmoja....Ndugu zangu wapendwa napenda kuwapongeza wale wote wanaojiandaa kuanza maisha ya ndoa kama mume na mke..ni vigumu kusema lakini ukweli utabaki mliopendana ndio mtakaodumu maishani nanyi mliotamaniana jiandaeni kuanza kiama cha maisha maana maadili ya dini yetu ayaruhusu tena kuanguka madhabahuni unless mwenzio amekutoka dunian.....

Ndugu wapendwa najua wapo wengi wanaofikiria sana jinsi gani ntafanya kumfanya mume wangu asitoke nje ya ndoa kama wanaume wengine..wapo wanaume wanaofikiria ni jinsi gani ntafanya kumweka ndani mke wangu anipende..yapo mengi sana sana na sana lakini kubwa zaidi Ingia kwenye maombi

Tatizo kubwa la wanandoa wengi ni kwamba wanamkumbuka mungu kwenye maombi wakati matatizo yameshaanza na wakati mwingine moto umeshashamiri hata faya ikija inakuwa mhudhuriaji wa shuguli..sasa wewe unaeanza ndoa kesho nakuagiza ukimaliza sherehe anza kuomba kumshukuru mungu kwa kukupa mume bora nasema bora maana jiulize tangu ukue yaani umepitiwa na wangipi umepitia wangapi na leo hii umeona hiki ndicho chombo kutoka kwa bwana...so jitahi uombe mungu aksaidie muishi kwenye amani na upendo kataa roho za nyumba ndogo na leo hii nikupe nyingne kemea roho za mumeo kutembea na ma hgirl..wengi wameamua kufanya mahgirl nyumba ndogo ukifika unaona mwenzio akipokea mzigo kwa hamasa na bashasha kumbe moyoni analo jambo

Kwa wale shuguli zetu leo pia nawatakia maisha mema iingawa bado mnaruhusiwa wa4 lakini kwa hili la leo nakupongeza pia kuitwa kidume..ni wachache wenye nguvu za namna hii na wengi huishia kuwa wahudhuriaji amini aliolewa na wanne na sio kuoa tena vijana mnaelewa maanake...pongezi ziende kwa wa wafungishaji ndoa wa leo na kesho na jua ipo siku kama amjaoa mungu atawapa wenu kutoka mbinguni msikate tamaa ya kufungisha ndoa ....as long ndoa ni kutoka kwa bwana

Kwa wale mliotamaniana na si kupendana ila kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo dolali nawapa pole akika si muda mrefu shuguli pevu itaanza nyumbani bila kujua kumbe mmoja alienda na mwingine kutamani...najua ni vigumu kujua alikutamani ama kukupenda lakini hiko ndicho chako ulichoingia nacho kanisani mwombe mungu ambadilishe tabia..

Mwisho nawtakia Ndoa NJEMA yenye fanaka na mabaraka njema isiyo na doa wala wa.....uku wale wazamiaji kama kawaida nawapongeza kwa kujiandaa kuingia kesho bila kadi na mungu awasaidie na nyie muoe tuingie nasi kwenye arusi zenu muone jinsi mnavyotutia hasara mns unbudgeted plp..pamoja na hili tunawakaribisha woteeeeeeeee mliaoalikwa na kadi kumbuka wenzenu wanatamani kadi lakini awajapata na wanaingia kama kawa so jaribu kuheshimu mualiko wa kadi kwenye ndoa ya mwenzio...

Nawatakieni MATAYARISHO MEMA
 
sulphadoxine

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,264
Likes
12
Points
135
sulphadoxine

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,264 12 135
Thanx
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
346
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 346 180
aksante baba mlezi!
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
2
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 2 145
Tutayafanyia kazi
 
bacha

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
4,335
Likes
7
Points
135
bacha

bacha

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
4,335 7 135
Ubarikiwe bro!
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Ukiwa kwenye sala ya kumwombea mwanandoa mwenzako waweza nukuu maneno haya ya MUNGU yakakusaidia

EZEKIEL 21:27

HIKI NAHO NITAKIPINDUA NITAKIPINDUA MPAKA MWENYE HAKI ATAKAPOONEKANA;NAWE KWENYE MAOMBI PINDUA NYUMBA NDOGO PINDUA UBINAFSI PINDUA DHAMBI ZOTE ZIKOSESHAYO WATU AMANI KWENYE NDOA MWAMBIE MUNGU MWENYE HAKI IKAWE MIMI IN JESUS NAME..

MKUMBUSHE

HESABU 14:28
ANASEMA LOLOTE MTAKALOSEMA NAFSINI MWENU NAKWENDA KULITIMIZA..MWAMBIE MUNGU AKUTIMIZE SALA ZAKO MAOMBI YAKO YOTE KADRI ULIVYOOMBA USICHOKE KUMNKUU WENGI WANASHINDWA KUMJULISHA MUNGU MAANDIKO...

UFUNUO 12:11
WAKAMSHINDA KWA DAMU YA YESU NAWE MWAMBIE MUNGU KWA JINA LA YESU KRISTO ALIE HAI NINAKATAA KILA KITU NINTNGAZA AMANI NA UPENDO USHINDI KWENYE NDOA KWA DAMU YA YESU NINAMINI M NI MSHINDI..

WALAWI 17:11
DAMU YA YESU INALETA UPATANISHO..MWAMBIE MUNGU KWA JINA LA YESU SAWASAWA NA WALAWI 17:11 NINAJIPATANISHA NA WEWE NA MUME WANGU NA WAKWE ZNANGU NA YOYOTE AMBAE ALINIPINGA KWENYE NDOA YANGU..NDUGU SI NDUGU WOTE WA MUMEO NA HATA WA KWAKO WALIPENDA UOLEWE..SO JITHDI UJIPATANISHE UTASHANGAA MWENYEWE WANAKUJA KAMA NJUGU

MUNGU AWABARIKI KWA MANENO HAYA MACHACHE
 

Forum statistics

Threads 1,236,305
Members 475,050
Posts 29,253,516