Ndoa au ndoano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa au ndoano?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chinene, Dec 2, 2010.

 1. C

  Chinene Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoa za siku hizi bwana! Wanajamii naomba mnisadie maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa ni mdudu gani kaingilia kati? Ndoa nazifananisha na mua, mbona wanandoa wanaanza kula kutamu na kumalizia kuchungu wakati inatakiwa uanze kula kuchungu umalizie kutamu. nina swali moja kwa kila jinsia tafadhali:
  1. Mume ungependa kufanyiwa nini haswa kwenye ndoa ili usiende nje?
  2. Mke nawe pia ungependa kufanyiwa nini, mnataka mpendejwe na vitu gani mnashidwa kuwafanyia waume zenu mpaka waangaike?
  Lakini tunatakiwa tubadilike kwakweli the way we handle each other, sithani kama unamtake care mwenzako ipasavyo anaweza kukubetray ( nyumba ndogo zinajali ndio maana zinapedwa na zinajua maana ya kupendwa) au vipi wandugu???:hug:
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Binadamu hawabebeki wala hawana shukurani. Mfadhiil mbuzi utakula nyama binadamu atakuudhi tu
   
 3. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aendeleee kufanya mambo kama alivyokuwa ananitongoza!:redfaces::redfaces:,anisifie nimependeza,anitoe out for dinner...anitumie kutwa message za mapenzi....
  :teeth:
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  love knows it all; penye upendo spouses watajua nini wanfanyie wenzao, maana ukipenda mtu ni sawa na kujipenda mwenyewe na kila mmoja wetu anajua nini anataka na asichokitaka...so dosari nyingi unazosema ziko kwenye ndoa maana yake ni symptom inayoonyesha kuwa kuna shida, yaani upendo sio wa kweli....upendo sio unataka kufanyiwa nini, bali nitamfanyia nini mwenzangu, your spouse/lover comes first...habari ndio hiyo
   
 5. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni ndoana ...
   
 6. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  anaza senksi nagonga hapa.na ni kwa ajili ya uchakachuaji.
   
 7. C

  Chinene Member

  #7
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks a lot Seniorita, I think umenikuna kweli. Love is very important phenomenon, if you love each other with all your heart you will have endless marriage and unbilievable one (nothing is impossible under the sun). just find someone you real love, don't play a game (hit and run) it will cost you one day. Lastly don't rush to life(marriage) for fearing to get old, you will end up to Mr/Mrs wrong due to environment or community eyes so better LATE than........................................................................................:target:
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  1. Mume ungependa kufanyiwa nini haswa kwenye ndoa ili usiende nje?
  ningpenda nifanyiwe maombi nje isiinuke ilale kabisa kabisa nje ya ndoahili ndilo ombi la wana jf wa kiume na nyie wanawake...maana hii ndio soln yetu sijui nyie
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  wamama mbona amjibu jamani angalieni wanaume wasije na mawazo yao hapa mkaumia
  maana naambiwa wengine wanaendaga kwa DK MANYUKI wa kike saasa kuweni macho na hili wasije funga mapaja hayo ukiwa nje ukashangaa yamenata kama sumaku
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Matatizo yote haya yanaletwa na maadui wafuatao;

  1. Ujinga
  2. Umasikini
  3. Rushwa
  4. Ufisadi
  5. Haki za binadamu
  Matokeo yake ni kama;

  1. Uchakachuaji
  2. Maradhi
  3. Utandawazi
  4. Divorce
  5. nk
   
Loading...