Nahisi Haus gel wangu ananitega

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?
 
Jihadhari huenda ni mtego wa mkeo kukupima imani. Pia huenda huyo msichana anataka kukuharibia ndoa yako.
Kuna baadhi ya wasichana wa kazi ukisha tembea naye unamsahau jumla mkeo
 
Hakuna ubishi hapo pana mtego ndugu,,na ulivyomuona kavaa kikanga chepesi ilibidi uwe siriaz kumwambia avae nguo inayostahili,na hicho kisketi kifupi ilibidi umwambie either avae kanga au avae nguo yenye stara.Ukiendelea kumfumbia macho na mdomo yataendelea makubwa zaidi kama yaliyompata Yusufu kwa mke wa Potifa.Pia fanya utaratibu bwana wife arudi mjipange namna ya kumsaidia mgonjwa
Chukua tahadhari
 
Jihadhari huenda ni mtego wa mkeo kukupima imani. Pia huenda huyo msichana anataka kukuharibia ndoa yako.
Kuna baadhi ya wasichana wa kazi ukisha tembea naye unamsahau jumla mkeo
Mkuu jibu zuri sana na la busara hasa afahamu pia si kila ukiona kichaka unajisikia kujisaidia
 
punguza geti kali mpe uhuru weekend moja moja katembee naye, hara na wewe unamkazia macho ya nini mpaka unajua kavaa chupi gani acha hiyo tabia mwisho utamkazi macho mpaka bintio
 
Jaribu kumnong'oneza mkeo hiyo hali uone kama yuko aware na mtego huo...! Ukishapata ukweli kuhusu hilo utakuwa tayari kuamua utakavyo....!
 
kuwa makini na umuonye la sivyo atakuletea matatizo kwenye ndoa yako
 
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?

uchuro huo
 
na wewe pia umeshamtamani, akugongee saa 7 ucku ucmtimue ni nn? ameshaona ishara fulani kutoka kwako yeye anafanyia finishing tu...nashukuru cjawahi kuwa na house gal na kama ningekuwa mie ndio huyu mama ningesafiri nae kwenda kjjn, baba c una mikono ya kijisaidia cku mbili tatu?....kama Baba E yeye kwake ni kama kawaida kabisa.
 
huu kweli mtego, jitahidi uwe unachelewa kidogo home! ukirudi ni kula na kulala
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom