MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,576
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............
Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?