Wanandoa wengi wapweke kuliko ""single" aka bachela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa wengi wapweke kuliko ""single" aka bachela

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 2, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kuangalia baadhi ya wanandoa mbalimbali na kuona kuna mengi sana yanayotokea hivi sasa
  naomba nieleweke sikutishi uoe ama kuolewa ila vyema kujua ndoa sio lelemama na unapoamua kuingia usitarajie msaada wa mamako ama babako unapoaribu kama mlivyokuwa bg

  Ndugu zangu kuna mambo mengi yanatokea kwenye nyumba zetu laiti mwenyezi mungu angesema tukiwa tunajenga nyumba tuache upenyo kwenye kona zetu asingekuwa akioa mtu kwa jinsi kuta zinavyoficha siri zetu...ninayo mifano mingi tu wapo watu wanabebabna kwenye magari unapowaona salenda mataa wanakula kiyoyozi ukahisi wako peponi kumbe mmoja wao anatukana kisisiri huyu polisi vipi anatuchelewesha nikammwage huyu nianze zangu.....sitaki ufanye hivi nasema kwa kukuonya muwe makini sana na ndoa tunazofunga

  Usifunge ndoa kwa ajili ya shangazi ama mjomba ama baba ama mama utalia..wengi wameingia kwenye sumu hii na kuishia kugawana pepo walizocchuma wakiwa duniani baada ya miaka kadhaa..mbaya zaidi hivi sasa unakuta babu na mvi zake ati anaenda mahakamani kuomba bibi ampe talaka laana ilioje...

  So ni kweli ukiwa single unakuwa na furaha ya kujiamulia mambo na kufrahi kwenda unapotaka lakini ukifika kwenye ndoa ndugu ujue kuna serikali ya NDOA..na mawaziri makatibu manaibu na diwani pamoja na wabunge woote ni wewe na mkeo na majukumu yote mwaitaji kuyafanikisha pamoja ili msikae vikao vya kususluhishana kama RICHMOND...

  Mwisho nawatakia heri na fanaka kubwaaaa kwa wapendwa wetu walioamua kufunga ndoa Kanisani/MSIKITINI/BOMANI na sehemu mbalimbali maana nimesikia mbeya huko kuna wachungaji wanawawafwata wanandoa nyumbani na kuozesha..si haba hali wamependana...nawatakia harufu njema ya amani upendo na mzidi kuongeza dunia kama wazazi wenu wasivyokuwa wachoyo kuwaleta nyie dunian leo hii mnafunga ndoa......

  WASIMAMIZI

  Tafadhali ukiwa unatarajia kusimamia ndoa ya mtu jumamosi ijayo ama ijumaa nk tafadhali tena kama si wanandoa jamani punguzeni ukaribu...sie wake zetu tunawaruhusu kwa kuwaheshimu wanandoa lakini naona hivi sasa mtu yuko mbele anapunga usemi na wake zetu kama baba na mama pinda pale baharini
  Hili tusingependa litokee kama si mkeo lishaneni keki mshibe muondoke si mambo ya umependeza oohh unajua angechelewa walahi ningekuwa na wewe toka hapa ulikuwa wapi siku zote na nasema kama una tabia hii walahii utaishia kusimamia ndoa za watu mpaka mwisho na kuoa huoi..si hilo tu na nyi wamama mambo ya kupeana namba za simu mbele mkome..kumbukeni mko na wanaume zenu kwenye ukumbi

  KILA LA KHERI
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Itafika wakati inabidi wake zetu wakisimamia ndoa tuende na panga kwenye makoti yetu meusi kuleta heshima kwa wasimamizi hilo ni wazo...karibia na utani
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  :teeth::teeth::teeth:
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hii kiboko imenichekesha pale kwenda na mapanga kwenye koti jeusi wakati mkeo amesimamia harusi. U made my day nimecheka mpaka basi
   
 5. M

  Madenge Member

  #5
  Dec 2, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  :pray2:
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hili dume linawivu wa kuua mtu, kaeni mbali wakware likikukama litakupididy bila huruma
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh mbn unatuogopesha sasa jamani,so nikipata kajamaa nikatose?
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Dec 2, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Si kwamba huko kwingine hakukuwa na maana la hasha ..post yako nzito ndugu yangu ila hapa pa wasimamizi........umenichekesha sana loh.
   
 9. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ukiona hivyo ujue mume amekosea kuchagua mke wa kumuoa au mke amekosea kuchagua mume wa kuolewa nae. Hakuna kitu kigumu kama ndoa, na ndio maana tunashauriwa kumuomba sana mola ili atuchagulie wake au wanaume wema. Wataalama wanasema kwamba ukikosea kuoa/kuolewa utapata tabu katika maisha ya hapa dunia. Ule utulivu ambao mola amekusudia uwepo moyoni baada ya kuoa/kuolewa hautakuwepo tena , badala yake kutakuwa na tabu na mashaka katika nafsi ya mume au mke husika
   
 10. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,737
  Likes Received: 3,172
  Trophy Points: 280
  Well spoken Pdidy....Ndoa nyingi siku hizi ni show off. Watu wanafikiri ndoa ni lelemama. Watu wanaoona kwa sababu fulani kaoa,kaolewa nami lazima nioe au niolewe. Wengine ni kwa sababu ya maswala ya kiuchumi,wengine ni shinikizo toka kwa wazazi na ndugu, wengine ni ulimbukeni tu wajameni wajameni mtalia na hizi ndoa mpaka lini????? Ushauri kwenu kabla hujaoa au kuolewa fikiria sana uulize moyo wako kama maamuzi unayotaka kufanya ni sahihi sio kukurupuka utajichimbia kaburi mwenyewe.
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amen amen mchungaji
   
 12. Julz

  Julz Senior Member

  #12
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nasitisha kutangaza nia kwa muda....
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Pdidy uliyosema yana ukweli mtupu asante kwa hekima zako..
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Baada ya kupata somo hili si nasi tutangaze nia? au we tayari nije nisimamie.......
   
Loading...