natafuta mpenzi

Bangusilo

Senior Member
Feb 7, 2008
137
10
natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam
 
hii trend ya kutafuta mijimama...sijui imeanza lini na kwa nini...
anyway kila la kheri...
 
natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam

jamani kuna utamu gani huko..??
vijana wadogo wanatafuta wamama wenye umri mkubwa..
au ndo style iliyoingia...
na ile ya kumdate mtu aliye na umri sawa na we au kijana aliyekuzi umri imepitwa na wakati???
 
Fab pita huku nikwambie sababu .......................hahah

haya ngoja nije,sijui nifanyeje mkeo Afrodenzi asione....infidelity oyeeeeeeeeeeeeeeee hahahah:redfaces:
 
mmhh bibie namwamini baba watoto wangu...................
naweza kumwacha nawe hamna neno.......
hahahah lol
 
natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam

shaitwani toka kwa jina la Yesu,
 
natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam

Bangusilo vipi naona unataka maisha mteremko, vipi akiwa mama wa nyumbani na hana shughuli ya kuingiza hata senti tano? Uko tayari...? Namjua mmoja hapa JF confirm nikuunganishe!!

Ila utanilipa commission yangu kwa kuwakutanisha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom