Dada mmoja alikuwa na mchumba wake wa muda mrefu....aliamua kuweka mambo yao down-low...nobody has to know.....ikatokea siku moja yeye na rafiki yake wa kike wakapewa lift kurudi mitaa ya kwao....yule rafiki inaelekea kwa makusudi akasahau funguo za chumbani kwake kwenye gari la mchumba wa rafiki yake.....na jamaa aligundua hili akiwa nyumbani kwake baada ya kuwashusha mabinti hawa ambao wanakaa karibu.....akampigia mchumba wake aje kuchukua funguo na akaambiwa sio zangu zitakuwa za fulani...na mimi nikiingia nyumbani muda huu siruhusiwi kutoka.....ngoja nimpe namba yako akupigie ili umuelekeze aje kuchukua...jamaa akatoka home akaenda baa ya karibu kumsubiri yule mdada baada ya kuwasiliana.....akaja akapewa funguo akaondoa.....toka siku ya pili yake jamaa anatongozwa kimtindo na shemeji yake huyu......jamaa hana raha kwani anajua akimwambia mchumba wake hana hakika matokeo yatakuwa vipi......anaomba ushauri