Paid to do it, but fails to make his friend's wife pregnant after 72
Attempts
A nice story, with surprising end:
In Stuttgart, Germany, a court judge must decide on a case of honorable...
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je...
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku...
Habari zenu wana JF, Napenda kuomba msaada wenu wa mawazo ili na mimi nipate ushauri wenye hekima. Nina rafikiangu alipata mchumba wakati yule kaka anamuomba dada huyo awe mchumba wake mungu...
Salaam aleykum!
Wapendwa naomba mnijuze, mme wangu kila akisafiri anafunga kabati lake la nguo hii inaashiria nn? kipindi cha nyuma nilikuwa nampangia nguo zake baada ya kizinyoosha nikakuta kanga...
Hii ni kwa wale wapwa na mabinamu hasa hasa Teamo, Finest, Asprin, Keizer, Roya roy, Bigirita, G-Y etc ....pale mnapotoka kwenye infii wakati mnawai home....
60 km/h - "It is well with my...
usimtumbulie macho au kumlaumu kikojozi ujue hilo ni balaa.....................wengi wa vikojozi hutokea kutokana kuishi kwenye mazingira magumu wakiwa watoto.............................yaani...
Umeoa/umeolewa ushauri , mawazo au maelekezo yapi ni ya kuya fuata? unayopewa na mmeo/mkeo au wazazi? na kama mwenzi wako anafuata sana yale anayopewa na wazazi kulioko ya mmewe/mkewe je yupo sasa...
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar
Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv?
Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine
mmh inanikera sana...
During one of our seminars, a woman asked a common question.
She said, "How do I know if I married the right person?"
I noticed that there was a large man sitting next to her so I said, It...
Kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga hapa nchini kwa sasa.Ni aibu na fedheha kwa jamii yetu ya kitanzania kuiga tabia hii ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu.inashangaza sana pale unapokutana na...
Nimehamia nyumba ingine hivi karibuni, ya kupanga. Ni upande wa nyumba, chumba kimoja na sebule. Kasheshe ni jirani wa upande wa pili. Dada mmoja hivi. Hapo miaka ya nyuma kidogo nimewahi kuwa na...
Yaani ipo njemba moja ambayo ilimganda binti wa watu hadi akamegewa...........baada ya kuonjeshwa asali jamaa sasa adai hakufurahika na aona bora ajinasue..........wakati mwenzie afikiri sasa...
Aisee juzi almanusra nidundwe na demu aisee. Yaani sijui ingekuwaje...maana sijawahi kabisa kupewa kibano na demu na hata kupigana na demu siwezi na sitaki.
Mwenye tajiriba ya kudundwa na demu...
You can't believe that circumstances have conspired to make your loving wife cheat on you and risk your marriage by doing so. You never thought she would be capable of such an act. Not only do you...
Habari zenu tena hapa.....
Nna jambo moja huwa silielewi..ni wakati gani pete ya ndoa na ya uchumba (kama alibahatika kuchumbiwa) huvaliwa mkono wa kulia maana juzi naona mtu katinga mkono wa...
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but...
Nikweli kila mtu atakuja na yake
lakini leo si mbaya mabinti sasa mnapoelekea ni pabaya na mbaya zaidi hadi watoto wa shule wamekuwa wakivaa nguo za aibu na matokeo yake wanaingia na vimini...