Pete ya ndoa kuvaliwa mkono wa kulia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pete ya ndoa kuvaliwa mkono wa kulia!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Nov 27, 2010.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Habari zenu tena hapa.....

  Nna jambo moja huwa silielewi..ni wakati gani pete ya ndoa na ya uchumba (kama alibahatika kuchumbiwa) huvaliwa mkono wa kulia maana juzi naona mtu katinga mkono wa kulia ya uchumba hadi ya ndoa ckuelewa....au ndo single ladies put a ring on it!!

  Nielewesheni kijana maana npo kwenye mchakato wa kumsuprise mahabuba dec ncje nikaumbuka na right hand !!inahusu!!

  Ni hayo kwa leo..weekend njema
   
 2. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  We mvishe mkono wowote ule ambao yeye atapenda, hayo mambo ya mkono wa kushoto sijui kulia yamepitwa na wakati. Ukija nchi za ulaya huku zingine utaratibu ni kushoto (kama tz) zingine utaratibu ni kulia. Mi naona cha msingi uwe umevaa hiyo pete basa (kama unaihitaji) otherwise, hata hiyo pete yenyewe haina umuhimu kiviiiile!
   
Loading...