Hivi sababu hasa ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi sababu hasa ni nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dropingcoco, Sep 27, 2010.

 1. d

  dropingcoco Senior Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na wimbi kubwa la ushoga hapa nchini kwa sasa.Ni aibu na fedheha kwa jamii yetu ya kitanzania kuiga tabia hii ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu.inashangaza sana pale unapokutana na mtu mwenye nafasi yake nzuri katika jamii lakini ni shoga. Wapo watu wengi hapa mjini wenye pesa zao lakini wanafanya shughuli hizo,nimesikitika kusikia kuwa tabia hizi huanzia utotoni, je watoto wetu wa kiume tunaowapeleka boarding schools wako katika usalama? Ni hatua gani ichukuliwe kukomesha tabia hii?....mawazo yenu tafadhali
   
 2. d

  dropingcoco Senior Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh hili swala limekubalika nini, mbona kimya
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  sababu kubwa nionavyo ni
  • ukosefu wa maadili,
  • tamaa za mali kama wanawake
  • maumbile tu
  • kuzaliwa hanidhi
  • mazingira
   
 4. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  ulevi huo mnajikuta mnafanyiwa baadae mnapenda sasa
   
Loading...