Punguzeni nguo za matamanio jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,851
18,951
Nikweli kila mtu atakuja na yake
lakini leo si mbaya mabinti sasa mnapoelekea ni pabaya na mbaya zaidi hadi watoto wa shule wamekuwa wakivaa nguo za aibu na matokeo yake wanaingia na vimini makanisan misikitini na huku wachunga wakiwaangalia
Wewe unaacha nyumba yako wazi unakuta mwizi alafu unamuuliza katokea wapi badala ya kujiuliza ameingiaje embu leo hii nenda tubu mwambie mungu nilikukosea lakini sasa kutamanisha wanaume basi...Mungu atakusamehe kwa yote..tuvvae nguo za heshima na si kuonekana na mh fulan ama mjini lazima nirudi na kiasi kadhaa cha mapredeshe wee uliza mapredeshee wangapi wamevuma sana na wengine frm uk walikuja na kasi wakishia kuzalilisha familia...utakufa nasema hata kama umekukwaa usiwaangamize wenzio kihivyo .....
Ahsante kwa kufwata yaliojuu
 
Pdiddy

tunashukuru kwa ujumbe wenye busara

akina dada waoneeni huruma wanaume mpunguze kuvaa nguo za kutamanisha sana :)
 
sawa tutajirekebisha,in one way or the aza ntakuwa nimevaa,ninavaa,nilivaa n labda sijajua kwamba nimemtamanisha mtu mwengine.
 
Nikweli kila mtu atakuja na yake
lakini leo si mbaya mabinti sasa mnapoelekea ni pabaya na mbaya zaidi hadi watoto wa shule wamekuwa wakivaa nguo za aibu na matokeo yake wanaingia na vimini makanisan misikitini na huku wachunga wakiwaangalia
Wewe unaacha nyumba yako wazi unakuta mwizi alafu unamuuliza katokea wapi badala ya kujiuliza ameingiaje embu leo hii nenda tubu mwambie mungu nilikukosea lakini sasa kutamanisha wanaume basi...Mungu atakusamehe kwa yote..tuvvae nguo za heshima na si kuonekana na mh fulan ama mjini lazima nirudi na kiasi kadhaa cha mapredeshe wee uliza mapredeshee wangapi wamevuma sana na wengine frm uk walikuja na kasi wakishia kuzalilisha familia...utakufa nasema hata kama umekukwaa usiwaangamize wenzio kihivyo .....
Ahsante kwa kufwata yaliojuu

I will never change....mini skirts are there to stay...skintight as well
 
I like the combination.........

I will never change....mini skirts are there to stay...skintight as well

Make love, not war....
 
Pdiddy

tunashukuru kwa ujumbe wenye busara

akina dada waoneeni huruma wanaume mpunguze kuvaa nguo za kutamanisha sana :)

hi hoja ingependeza kama kungekuwa na Picha za hizo nguo za kutamanisha ili tuone, maana kwako inaweza kuwa ya kutamanisha lakini kwa mwenzio ni bonge la poa
 
see_through_dress.jpg
 
Nikweli kila mtu atakuja na yake
lakini leo si mbaya mabinti sasa mnapoelekea ni pabaya na mbaya zaidi hadi watoto wa shule wamekuwa wakivaa nguo za aibu na matokeo yake wanaingia na vimini makanisan misikitini na huku wachunga wakiwaangalia
Wewe unaacha nyumba yako wazi unakuta mwizi alafu unamuuliza katokea wapi badala ya kujiuliza ameingiaje embu leo hii nenda tubu mwambie mungu nilikukosea lakini sasa kutamanisha wanaume basi...Mungu atakusamehe kwa yote..tuvvae nguo za heshima na si kuonekana na mh fulan ama mjini lazima nirudi na kiasi kadhaa cha mapredeshe wee uliza mapredeshee wangapi wamevuma sana na wengine frm uk walikuja na kasi wakishia kuzalilisha familia...utakufa nasema hata kama umekukwaa usiwaangamize wenzio kihivyo .....
Ahsante kwa kufwata yaliojuu
Una ushahidi wowote katika haya madai yako?
 
hi hoja ingependeza kama kungekuwa na Picha za hizo nguo za kutamanisha ili tuone, maana kwako inaweza kuwa ya kutamanisha lakini kwa mwenzio ni bonge la poa

Haya bwana

Naona unataka picha za mfano usiofaa badala ya ule unafaa

Mwanamke mwenyewe labda anajua kuwa hizi za leo za mtego na hizi za staha
 
Inatisha sana utakuta bint amevaa nguo ya ajabu then full kijipitisha mbele ya madume,hii ni mbaya sana kweli akina dada mrudieni mungu.
 
sawa sisi tunaweza kubadilisha ....
lakini ujuwe kitu kinacho chochea hayo ni vioombo vya habari..
siku hizi wanasema sex sales....
kwa hiyo tuwakataze wasichana wote kuangalia TV ..???? haitawezekana
nguo zingine nii traditional
na internet ziko kila kona ..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom