Vikojozi..........utawasaidiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vikojozi..........utawasaidiaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Nov 27, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  usimtumbulie macho au kumlaumu kikojozi ujue hilo ni balaa.....................wengi wa vikojozi hutokea kutokana kuishi kwenye mazingira magumu wakiwa watoto.............................yaani huwa wanapigwa sana na wakubwa zao......au wazazi, au waalimu wao......au hata kutokuwa hawajaliwi kwenye mazingira waishiyo...........na kutokana na kuishi katika hofu muda mrefu na wao wana umri mdogo wanakosa uvumilivu na hivyo kuathirika kiakili.................................hivyo badala ya kuwacheka tumia muda mwingi kuwashawishi wakujuze yaliyowasibu wakiwa wadogo.........na hadithi za manyanyaso hujirudia mara kwa mara..................

  Nabii T.B Joshua wa-Nigera yeye huliangalia hili tatizo kiroho zaidi badala ya mateso ya kimwili na hutumia vipaji vyake kuyafukuza mapepo...............................

  Wenye ufahamu zaidi wa tiba ya kikojozi kitandani watujuze.................hili ni tatizo linalosumbua vijana wengi na huishia kuwa wananyapnyapaliwa na jamii bila ya jammi kuelimishwa kuwa hayo ni matatizo ya kisaikolojia.....................yanayohitaji tiba tu................
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wait i'll be back in a minute
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  asante muheshimiwa kwa kuleta hilli hapa jukwaani......
  Hopefully utapata wajuzi juu ya jambo hili...
  labda ungeliweka kwenye sehemu ya JF Doctors ungepata wataalum zaidi juu ya jambo hili...
   
 4. G

  Gwesepo Senior Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :whoo::whoo:Atumie Maji walio oshea Mchele au ndevu za mahindi achemshe maji yake anywe Mkuu
   
 5. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa kweli hilo ni tatizo ambalo mara nyingi linafedhehesha wahusika. Kwa kawaida vikojozi huwa wanajikojolea kwa wakati au kipindi maalumu wakiwa wamelala usiku. Kila kikojozi ana muda wake ambao hua anapitiwa na kujikojolea kitandani. Wengi huwa hawajikojolei ovyo. Ukimfuatilia kikojozi utaona muda ambao anajikojolea ni karibu huohuo kila siku. Kinachotakiwa ni kufanya utafiti na kujua ni wakati gani ambao mara nyingi kikojozi anajikojolea, na uanze utaratibu wa kumuamsha kila siku muda mfupi kabla ya muda wa kujikojolea kufika ili aende msalani akakojoe. Zoezi hilo likiendelea kwa muda, atazoea (conditioned) na atakua anaamka mwenyewe na kwenda kukojoa kila siku pindi muda wa "kuharibu mashuka" unapojili. Njia hii imesaidia wengi.
   
Loading...