Bigirita uko wapi laazizi?

Mama Big

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
488
0
Asalaam aleykum, bwana asifiwe, tumsifu Yesu kristo wanaJF, poleni na msiba wa wapendwa wetu wawili Remmy na Baba Diana mola azilaze roho zao mahala pema peponi.
Jamani huyu mtu anaitwa BIGIRITA yuko wapi? Teamo, Aspirini (Babu), The Finest (Dig Dig), GY, Rose180, RR, MwanaJ1, Mama kwanza, Maty na wengine nisaidieni kumuambia namtafuta. Nashukuru kama mtanifikishia salamu zangu kwake.
 
GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,280
1,170
Habari yake Mama kubwa....unamtafuta hatibreka au?
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Mama kubwa habariii yako banaaa leo imekuwa vice versa juzi(ijumaa) kwenye kikao tulitoa mwongozo wa kukutafuta tukurudishe kundini maana naona umekimbia, ila huyu bigirita(hatibreka) muda si mrefu ataonekana tu
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000
Hivi huyu Bigirita ni yule mwandishi wa vitabu vya Uzazi wa Mpango...right?
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,689
0
Lile darsa halijaisha Mama B...hunitafuti?

rr umesemaje we mwanaume?
sasa adhabu yako nakununia kuanzia xmass mpk new yr ..na autaenda popote ntakufungia seblen ntakachokuachia ni remote tu bas..sim zote ntazifungia....mama bg hafai...nimewaruhusu mpeane darasa kwa semester moja sasa mwataka kuifanya kozi ya miaka mitano?ata inginiaring haifany ivo...!!!!
andika msg sema pole mama bg nilikuwa nakutania....la sivyo maji utaita mma leo...I SAID.
 
RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,894

Pole Mama B nilikuwa nakutania.....(Mama B twende chemba basi)
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,689
0
Hivi huyu Bigirita ni yule mwandishi wa vitabu vya Uzazi wa Mpango...right?

apana.ni yule mtoa vizazi vya kike.
anapenda sana kufanya safari na akifika kati kati ya safar anasimamisha tukutuku na kuzindika kichaka.
ana pilipili na hoho kwenye friji la mama bg
anapenda kutoa lami na kuweka vumbi
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,154
1,250
Usimfanyie hivyo mwenziyo tafadhali, Mpunguzie adhabu! Mimi naweza kumwekea dhamana.
rr umesemaje we mwanaume?
sasa adhabu yako nakununia kuanzia xmass mpk new yr ..na autaenda popote ntakufungia seblen ntakachokuachia ni remote tu bas..sim zote ntazifungia....mama bg hafai...nimewaruhusu mpeane darasa kwa semester moja sasa mwataka kuifanya kozi ya miaka mitano?ata inginiaring haifany ivo...!!!!
andika msg sema pole mama bg nilikuwa nakutania....la sivyo maji utaita mma leo...I SAID.
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,689
0
Usimfanyie hivyo mwenziyo tafadhali, Mpunguzie adhabu! Mimi naweza kumwekea dhamana.

dhamana gan?
iseme labda ntakuelewa kwa niaba yake...niliwapa semester moja sasa naona wanataka kuunganisha na koz ya phd apa apa ...wakat nawaona...
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,689
0
Mama kubwa habariii yako banaaa leo imekuwa vice versa juzi(ijumaa) kwenye kikao tulitoa mwongozo wa kukutafuta tukurudishe kundini maana naona umekimbia, ila huyu bigirita(hatibreka) muda si mrefu ataonekana tu

ki dig dig unavumilia kuwa katika hali i?
yan bg anatafutwa...vp umefukuzwa kaz kaka?
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,154
1,250
dhamana gan?
iseme labda ntakuelewa kwa niaba yake...niliwapa semester moja sasa naona wanataka kuunganisha na koz ya phd apa apa ...wakat nawaona...
Oh! kwanza uwe tayari kuwasamehe, halafu kama ni kufidia basi nitasimamia walipe haraka. Hizo adhabu kali mno kwa watoto wa mwanamke mwenzio
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000
apana.ni yule mtoa vizazi vya kike.
anapenda sana kufanya safari na akifika kati kati ya safar anasimamisha tukutuku na kuzindika kichaka.
ana pilipili na hoho kwenye friji la mama bg
anapenda kutoa lami na kuweka vumbi
Nisaidieni namba za BABA Askofu!
Nimegundua kuna mtu anahitaji toba kabla ya Parapanda hapa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom