Ikikutokea utafanya nini?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
356
0
Uko na rafiki yako.mmezaliwa,mmeishi na hata mmesoma shule moja..tumuite kaka wa kwanza dulla na wapili tonny..wote mko na mabinti mnawapenda sana ila hamjachumbiana..dulla akiwa na rita na tonny akiwa na hadija kama wapenzi..mmekwenda mjini pamoja kujipa raha na usiku mnatafuta guest ila zote zimejaa na mnapata room singo..bas mnafanya mapenzi kila mmoja na mpenz wake.halafu baada ya mda mnawatuma wapenz wenu kuleta vinywaji.warudipo,wanawashauri kuwa kweli nyote ni marafiki wa dhati ila kwa leo tumeamua hadija anataka sana kumjua dulla kimapenzi na vice versa..je?, utakubaliana na kauli za hao mabinti..yani mbadilishane wapenzi japo kwa ucku mmoja tu?
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
2,000
aaaaa bwana sasa ndo nini mambo hayo yakulamba sukari kwenye kijiko kimoja ..
mmmhhh now im wondering whats ur next thread...
probably threesum.......
haya mambo ya hayana miguu wala kichwa..
porn tupu...
 
semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
Duuh!hiyo kali bt ni hadithi ya kufikirika tu,haiwezi kuletwa kwenye reality.
 
AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
Hao mademu ni machangu ni uhuni kufanya mapenzi pamoja ngono ni siri na utukufu kwa bwana
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
:crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy:
 
Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,427
1,195
Mhhh... isitoshe mnajuana jinsi mnavyo watenda.. na jamaa yako ni very harsh in bed.. enough aki do huwa dem hachomoki...:hungry:
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,247
2,000
Uko na rafiki yako.mmezaliwa,mmeishi na hata mmesoma shule moja..tumuite kaka wa kwanza dulla na wapili tonny..wote mko na mabinti mnawapenda sana ila hamjachumbiana..dulla akiwa na rita na tonny akiwa na hadija kama wapenzi..mmekwenda mjini pamoja kujipa raha na usiku mnatafuta guest ila zote zimejaa na mnapata room singo..bas mnafanya mapenzi kila mmoja na mpenz wake.halafu baada ya mda mnawatuma wapenz wenu kuleta vinywaji.warudipo,wanawashauri kuwa kweli nyote ni marafiki wa dhati ila kwa leo tumeamua hadija anataka sana kumjua dulla kimapenzi na vice versa..je?, utakubaliana na kauli za hao mabinti..yani mbadilishane wapenzi japo kwa ucku mmoja tu?
Mkuu hiyo ilishatokea wakati wa ujana wangu pale msasani kulikuwa na guest inaitwa OMUGA sijui hipo au la tukachukua mabinti na rafiki yangu chumba kimoja double baada ya mechi tukawa tunapiga story mwisho tu fanya mabadiliko steam zikarudi upyaaa na mademu wakatoka wamefurahia nasisivifuambele jiwe moja kwa njiwa wawili!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom