Behind any frustrated man there is a woman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Behind any frustrated man there is a woman

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vegule, Dec 18, 2010.

 1. v

  vegule Senior Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji. Nilikuwa nimemwamini sana mke wangu. nilimpa asilimia mia moja. nami baada ya ndoa sijawahi kumsaliti sasa yeye kaamua kutoka na my best friend. jamaa yangu kawaona live wanatoka guest house akaja kunambia. mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu. Sijamwambia kitu hadi sasa ila nimeanza kunywa pombe kama maji. Na hapa JF naomba msinishauri ku√Ęcha pombe. Nimeweka thread hii kuwatahadharisha wale wenye ujinga kama wangu wa kumwamini mke 100%. Samahani yawezekana kuna wanawake waaminifu pia. Ila nimeacha kabisa kufanya the needful na mke wangu. hata akiwa uchi namwona kama mwanamme mwenzangu tu. Sijui kama nitakuja kugusa K maishani. Kila nikijisikia kudo nakamata bia. Kwaherini akina dada. Ninajua JF mna hekima na busara ila kwa sasa sihitaji ushauri wowote. Am married to vodka. Nawaasa tu wale walioweka 100% kwa wake zao. YAMENIKUTA. Naomba kuwasilisha wakuu.
   
 2. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya kaka umesomeka
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh! Kwanza pole sana kama uliyosimulia yamekukuta kweli. Kwa mwanaume kuwa 'cuckolded' ni mbaya sana.

  Pili, pombe si suluhisho la tatizo. Hata unywe dumu zima la Vodka matatizo yako yatabaki palepale. Unaweza ukawa kwenye dunia ingine kwa muda tu lakini ikiisha unarudi kwenye uhalisia wa hali halisi.

  Tatu, kuna watu ambao wana abuse trust wanayopewa na wenza wao. Mwenzako akijua unamwamini mno kiasi cha kwamba akikwambia chochote wewe unakubali, hayo ndo matatizo yake. Kwa ufupi, binadamu haaminiki.

  Nne, acha pombe (ingawa umesema hutaki ushauriwe hivyo) na songa mbele na maisha yako. Achana na huyo mwanamke. Hafai kuwa mke wa mtu. Anafaa kuwa kicheche tu. Unabaruza halafu unatambaa.
   
 4. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kakataa kushauriwa sasa wewe umemwandikia mzalenda tena sijui kama atasoma.

  Mwanaume kuwa 'cuckolded' ni mbaya
  Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
   
 5. semango

  semango JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu Vegule welcome to the club.cha msingi 2mshukuru aliyekaa chini na kupata formular ya alcohol.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  But alcohol is so provisional...and then once sober you are back to square one. Actually chances are that it can compound the problem (talking about excessive drinking)
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  hebu mwache, halafu uone jinsi huyo unaemwita best friend wako atakavyofanya....trust me, nae atasepa.
   
 8. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,668
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Ili watoto wao wateseke sio?
   
 9. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unataka wa pretend in the name of children? Huyo mke angetambua hayo kabla ya kwenda kufanya huo ufuska wake.
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  A woman goes and ruin your life and you decide to ruin it some more.

  Perfect, just perfect!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Go figure...!!!
   
 12. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2010
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana insikitisha kusoma story yako ila ni mambo ya kwaida,

  ila naomba kuuliza kweli hajagundua unakunywa sana na kuuliza kwa nini?

  mie nimeona wanaumewengi wanapitia hii ila wengi sio na best friend.

  itabidi siku moja umwambie rafiki yako maneno haya 'ninajua' alafu mwachie uone ndumba katika yake na mkeo yaani, atamsumulia mkeo then utaona watakavyo react wape hard times pia as wataogopa kukuuliza ufafanuzi wa neno hilo la ninajua

  kisha angalia drama yote, ila ingekuwa mie ningetafuta msichana nje wa kuniliwaza pia,pombe sio solution ndugu yangu. ila kumbuka kujikinga. huu sio mwisho wa dunia usijitese kwa raha za hao waliokufanyia mabaya.

  Ndio maana kuna divorce, hata kwenye biblia imesemwa juu ya issue hii.

  jamani acha kunywa pombe acha una future nzuri ahead of you, move on kama unaona inakusumbua ila akikisha unaongea na mtu juu ya hili jambo mtu wa karibu wazazi, siblings au in short mtu atakayekusaidia through this drama kiakili, kiafya na kwa kukusikiliza na kukusaidia ushauri
   
 13. m

  mams JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo mke ndiyo wale mnaokutana nao mtaani na kuanza maisha au ndoa bomani bila baraka za wazazi? Jamaa umelizilia mke na hivyo linaendelea kufaidi kwa kwenda mbele! Sijaona sehemu yoyote kulichimba mkwala. Limekuongezea unnecessary cost ya vinywaji otherwise kama uko lab ya TBL. Kwa jinsi hiyo wagoni wataendelea kutanua
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yani hili ndio neno... the guy is only swinging because ni for entertainment only... not for serious committment
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  so for this one its ok baba ateseke lakini wengine hapana sio?

  Hata ikibidi kuachana, cha maana ni kuweka mpango mzuri na endelevu wa kuangalia watoto rather than watoto kuteseka wakiwa na baba na mama
  seeing a drunk farther, fighting with a b**ch mother talking all sh!t words and ending up ruining everyones lives
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  kama wewe kidume kweli,namtafute mke wake nae umlambe!kwa njia yoyote ile!natumai hasira itaisha na atajua kuwa nothing s impossible!life s a battle man!u ve 2 fight
   
 17. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Thumb up broda!
   
 18. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Infidelity in woman is a masculine trait
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sure...
  mkuki kwa nguruwe?naona mnavyochangia kwa machungu ...nyie mnavyopigaga nje inakuwa tamu ennh?
  kwa wenzenu vdole juu afu nyie kwenu mnapongezana kw akuwa na haus ndogo nyng......NA BADO....
  thou siung mkono kitendo cha dada kumsaliti jamaa.....
   
 20. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ROSE
  Unaona eeeh...mtendwa akitendwa inauma kupitiliza aisee.
   
Loading...