Ndoa

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
Je, nisawa mwanamke kumzidi mwanaume umri miaka 10 na wakaishi vzr ktk ndoa?
 
age ni namba tu, muone Mariah Carey na Nick Canon....raha mustarehe
 
si halali kabisa. rejea the story of creation of man, mwanaume ndiye aliyeumbwa kwanza so lazima awe mkubwa kidogo kiumri
 
Je, nisawa mwanamke kumzidi mwanaume umri miaka 10 na wakaishi vzr ktk ndoa?

Kama wamependana basi ni vizuri tu. Kama Preta alivyosema japo baadae mwanamke anaweza pata shida maana wenyewe huzeeka mapema jamaa atakuwa bado anadai. Mtu mmoja na wewe na story yako ya creation siku hizi ishatupwa imebaki historia si unaona wanawake wanavyoongoza nchi mbali mbali na wengine maaskofu? Mambo ya ubavu achana nayo siku hizi wanatuoa.
 
na ndio maana nyumba ndogo, usagaji, ushoga, talaka, ufisadi, ukimwi nk vinatamalaki kwenye jamii. yote kwa sababu tumetoka kwenye misingi sasa wote tumebaki tunahangaika kama manung'ayembe
 
age ni namba tu, muone Mariah Carey na Nick Canon....raha mustarehe

Usiige wamarekani kaka....jamaa wanazeeka slowly sana....wan fedha za kuwaweka sawa...hawazeeki kiivo...weather nayo inawalinda....Huku kwetu huyo atakua BIBI soon....personally sikushauri hata kidogo.....
 
Kama wamependana basi ni vizuri tu. Kama Preta alivyosema japo baadae mwanamke anaweza pata shida maana wenyewe huzeeka mapema jamaa atakuwa bado anadai. Mtu mmoja na wewe na story yako ya creation siku hizi ishatupwa imebaki historia si unaona wanawake wanavyoongoza nchi mbali mbali na wengine maaskofu? Mambo ya ubavu achana nayo siku hizi wanatuoa.

Mbona kama kijiji kwetu kina mabibi wajane wengi kuliko mababu? mwanamke anandua muda mrefu kuliko mwanamke.
 
Je, nisawa mwanamke kumzidi mwanaume umri miaka 10 na wakaishi vzr ktk ndoa?

Miye sioni tatizo provided that kuna true love and respect between them. Kama mwanaume aliyemzidi mwanamke umri kama huo au zaidi na wanaweza kuishi vizuri katika ndoa sioni kwanini ishindikane ikiwa vice versa.

.....mhhh kwa mwanamke kumzidi mwanaume miaka 10 naona kama haijatulia.....baada ya muda shost utaonekana mzee kwa mumeo. Labda kama wewe mwanamke una umbile dogo la mwili na unajipenda, na mume ana umbile kubwa kuzidi lako.
 
mmmmmmhhh age difference mwanaume kumzidi mke kwa 10 yrs that should be maximum bana na mwananke akimzidi mmeo kwa 5 yrs that is maximum, ila isiwe kama haka kababu hapa, then don't tell me age is just a number, stop thatView attachment 18810 haya si mapenzi. Nooooo
 
age ni namba tu, muone Mariah Carey na Nick Canon....raha mustarehe

age sio namba tu, preta unanilet down bana! hapo ukifika 30 kadada yeye kanaingia menopause, gwaride linapungua, uzazi hakuna, unabakia kula kwa macho tu mitaani, ndio mara unaskia kizee kimebaka frozen chicken, kumbe kizee kilikosea step kwenye umri na sasa hakitoshelezwi uwanja wa nyumbani.
BTW, hali yako?
 
mimi ni mzima wa afya tele....nimekumiss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom