Kupenda NGONO ugonjwa mbaya? Dalili zake...

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,699
1,195
The Sexual Addiction Symptoms

Added: 12/16/2005
Sexual addiction is a constant sexual desire which can be rarely satisfied despite many sexual encounters and a great number of partners. Sexual addiction that often causes trouble is hypersexuality. With men this phenomenon is called satyriasis, and with women - nymphomania. The symptoms of sexual addiction are: no attraction to a definite person; only the physiological need is satisfied, without feelings and psychological elements.
Tafsiri isiyo rasmi:
Utumwa ngono ni hali ya kutamani kufanya ngono kila wakati ambapo hamu ya kufanya ngono haiishi hata kama utafanya mara nyingi na mtu mmoja au wengi tofauti. Utumwa ngono wenye madhara makubwa ni ule unaoitwa hypersexuality. Kwa wanaume hali hiyo inaitwa satyriasis na kwa wanawake inaitwa nymphomania. Dalili za utumwa ngono ni: hufanyi ngono kwa kuvutiwa na mtu unayefanya naye ngono, bali kwa kuridhisha matakwa ya mwili tu, bila kuwa na hisia itokayo ndani.

Kina dada wa JF

Itakuwaje Satyriasis akioana na Nymphomania? Kuna kazi itafanyika?

By the way, kuna mwana JF mpenzi wa MMU mwenye ugonjwa huu?

Nymphomania wanione...
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000
usikute jomba umekaa unasubiri jibu la hili swali lako ukitegemea kuna mdada atakuja kukujibu. labda uende mbagala charambe ukawasalimie wakaza-mwana wako na kurudi ndo utakuta jibu moja la ziada hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom