Women Down!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
275
Points
225

God knows

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
275 225
Kabla sijaanzisha huu mjadala, naomba wanawake wote wa JF wanisamehe kama mada hii itawa upset in one way or another.

Mimi binafsi kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu wanawake ndio maana nikaona si vizuri kuumiza kichwa peke yangu ila niilete hii mada hapa Jamii Forum ili niweze kupata mawazo ya wadau kwa sababu inawezekana mtazamo wangu si sahihi.

Hivi wanawake wanaposema wanadai haki sawa, wanamaanisha nini exactly. Wanadai haki au upendeleo.

Nikianza na biological point of view, wanawake wanafahamika kwamba wapo weak!. sijakosea, ndio hivyo kwamba wapo weak katika mambo mengi mfano akili, nguvu, n.k

Tukija kwenye Biblical point of view, mwanamke aliumbwa kutoka kwenye ubavu wa Adamu na Mungu alimuumba mwanamke baada ya kuona kwamba Adamu ni mpweke hivyo akamfanyia msaidizi wake. Hii iina maana kwamba mwanamke ni sehemu ya mwanaume na sehemu sidhani kwamba ni sawa na kitu kizima.

Nikiangalia kwa makini katika huo mchakato wao wa kudai haki sawa, naona kwamba hawadai haki sawa ila wanajaribu kuua feminism kwa kuiga mambo wanayofanya wanaume. Ukisoma hesabu utajua kwamba a negative number and positive number cancel each other when they have equal values and a negative number becomes more strong when it is more negative and the same way for a positive number. This means women make men stronger by becoming more weak themselves.

Halafu katika huo mchakato wa kudai haki sawa, mbona hawadai haki sawa ila wanadai kupendelewa????! kwa nini? Mfano wanawake kufaulu kwa asilimia ndogo, kupewa upendeleo vyuoni, makazini, uongozini na sehemu nyingine bila kuwa na sifa thabiti. Je hiyo ni haki sawa???

Siku hizi wametuingilia hadi kukojoa. wanakojoa huku wamesimama?? Makubwa

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,650
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,650 2,000
Tukija kwenye Biblical point of view, mwanamke aliumbwa kutoka kwenye ubavu wa Adamu na Mungu alimuumba mwanamke baada ya kuona kwamba Adamu ni mpweke hivyo akamfanyia msaidizi wake. Hii iina maana kwamba mwanamke ni sehemu ya mwanaume na sehemu sidhani kwamba ni sawa na kitu kizima.
Mungu mwenyewe mwanaume sasa unategemea nini....
 
God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
275
Points
225

God knows

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
275 225
Wanawake wanaenda na Sayansi na Teknolojia. Picha hii hapa chini inaonesha mwanamke akiwa anakojoa huku kasimama. Yupo hapo kati. Kulia ni kifaa kinachotumika kukojolea. Hivi wanawake wanahisi sie tunafaidi sana kukojoa huku tumesimama au ........... Kweli hakunaga Gender kama ya kike duniani!
 
Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
1,879
Points
1,195

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
1,879 1,195
Nikianza na biological point of view, wanawake wanafahamika kwamba wapo weak!. sijakosea, ndio hivyo kwamba wapo weak katika mambo mengi mfano akili, nguvu, n.k
Hapo kwenye blue sikubaliani na wewe..............kwenye suala la nguvu naweza kubaliana na wewe, japo sio 100%!
 
Sarafina1

Senior Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
154
Points
170

Sarafina1

Senior Member
Joined Mar 28, 2011
154 170
Na nyinyi kujigeuza mashoga na kutuibia waume hamuoni mnatuingilia? Sisi kukojoa tumesimama haina madhara tena inawezekana ukichuchumaa ukapata madhara ya kurukiwa na uchafu kutegemeana na sehemu unayojisaidia. Haya nyie kuingiliwa kinyume na maumbile iko poa ee
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
9,031
Points
2,000

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
9,031 2,000
Umewashusha sana dada zangu...lakini tambua nafasi yao kwenye mambo mengi sana ambayo wanaume hatufanyi...kama wangekuwa weak kama usemavyo wasingeweza beba mimba miezi tisa na kuzaa watoto.
waheshimu kwa kazi nzuri wafanyayo ya kulea watoto nk.
Kazi zote tufanyazo wanaume na wao wanaweza vizuri tu...kila mahali wapo..marais wapo...makonda wapo pia.
They deserve respect for what they are.
 
God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
275
Points
225

God knows

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
275 225
Na nyinyi kujigeuza mashoga na kutuibia waume hamuoni mnatuingilia? Sisi kukojoa tumesimama haina madhara tena inawezekana ukichuchumaa ukapata madhara ya kurukiwa na uchafu kutegemeana na sehemu unayojisaidia. Haya nyie kuingiliwa kinyume na maumbile iko poa ee
Ukiona mtu kawa shoga ujue anapita tu kwa muda. Labda anafanya experiment kujua kama wanawake huwa wanapata raha au la...... muda wa ku s.e.x
 
God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
275
Points
225

God knows

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
275 225
Umewashusha sana dada zangu...lakini tambua nafasi yao kwenye mambo mengi sana ambayo wanaume hatufanyi...kama wangekuwa weak kama usemavyo wasingeweza beba mimba miezi tisa na kuzaa watoto.
waheshimu kwa kazi nzuri wafanyayo ya kulea watoto nk.
Kazi zote tufanyazo wanaume na wao wanaweza vizuri tu...kila mahali wapo..marais wapo...makonda wapo pia.
They deserve respect for what they are.
Kubeba mimba miezi tisa na kuzaa watoto hiyo ilikuwa ni adhabu kutoka kwa Mungu kwa kile walichokifanya - kuchuma na kula tunda la mti wa katikati. Labda God made mistake kuwafanya hivyo.
After all those are biological roles kama wewe ulivyokuwa na biological roles ambazo yeye hawezi kuzifanya!
 
Forum statistics

Threads 1,391,498
Members 528,416
Posts 34,082,840
Top