Uhusiano wa kuoa na uchumi

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,239
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,239 1,500
Ni muhimu saaana kua fit kifedha (sio kwamba ziwe nyiiingi - uwe na uwezo wa kuendesha maisha yako uweze kumudu vitu basics kama chakula, malazi na mahitaji mhimu)... thou siku za mwanzo huonekana ka vile Mapenzi ndio mwisho wa maamuzi hayo but hata uwezo wako wa kuendesha maisha ni mhimu...

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,141
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,141 2,000
ni kichekesho kama mwanaume unataka kuoa halafu huna hela...i guarantee you hyo ndoa haitadumu...
Jamani mbona mnapotoshana kwa makusudi hapa? ingekuwa hivyo basi msukums torori asingeowa, hapa lazima tukubali binadamu duniani hatuko sawa, bali usawa upo kwa mungu, sasa hata unapotaka kuoa ni lazima ujijuwe wewe ni wa category gani, haiwezekani unataka kumuowa Miss Tanzania halafu unafanya kibaruwa kwa muhindi mshahara laki na nusu, hapa ni kujitafutia shida wewe mwenyewe.
Jana tulisema hapa wanawake waalimu ndio good match ya kuoa kama kauwezo kako ni kakubeep, maana waalimu wana upendo wa asili na wanavumilia sana mazingira magumu.
Sasa wewe unamtaka Lizzy, bill inaanzia kwenye Blackberry subscriber per mounth 30,000= internet bundle ya laptop 2 GB per month, hapo bado saloon.

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225

huyo lizzy kama amekupenda kwa dhati na kukubali kufunga ndoa nawe ataforgive hizo bill za blackberry and 2GB...kuoa sio tu kuwa na uwezo wa kumhudumia mke...kukubaliana kuishi kwenye maisha ya ndoa ni mapenzi ya dhati baina ya watu wawili na mtaishi kwa kusaidiana,kupeana support kadri itakavyowezekana ...kama upo na mke kwa sababu tu unampa fedha za kutosha then bila shaka she loves ur fckn money and not you

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,141
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,141 2,000

huyo lizzy kama amekupenda kwa dhati na kukubali kufunga ndoa nawe ataforgive hizo bill za blackberry and 2GB...kuoa sio tu kuwa na uwezo wa kumhudumia mke...kukubaliana kuishi kwenye maisha ya ndoa ni mapenzi ya dhati baina ya watu wawili na mtaishi kwa kusaidiana,kupeana support kadri itakavyowezekana ...kama upo na mke kwa sababu tu unampa fedha za kutosha then bila shaka she loves ur fckn money and not you
Endelea kuidanganya nafsi yako,..................... wewe unaishi dunia ya kusadikika na sio hii tuliopo leo.

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,397
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,397 2,000
Jamani mbona mnapotoshana kwa makusudi hapa? ingekuwa hivyo basi msukums torori asingeowa, hapa lazima tukubali binadamu duniani hatuko sawa, bali usawa upo kwa mungu, sasa hata unapotaka kuoa ni lazima ujijuwe wewe ni wa category gani, haiwezekani unataka kumuowa Miss Tanzania halafu unafanya kibaruwa kwa muhindi mshahara laki na nusu, hapa ni kujitafutia shida wewe mwenyewe.
Jana tulisema hapa wanawake waalimu ndio good match ya kuoa kama kauwezo kako ni kakubeep, maana waalimu wana upendo wa asili na wanavumilia sana mazingira magumu.
Sasa wewe unamtaka Lizzy, bill inaanzia kwenye Blackberry subscriber per mounth 30,000= internet bundle ya laptop 2 GB per month, hapo bado saloon.
Matola bana...
Kwani hivyo vitu ntakua naanza kuvitumia baada ya kuolewa?! Kama nlikua naweza kuvilipia mwenyewe kabla basi uwezo wa kuendelea kufanya hivyo ntakua nao hivyo sina haja ya kumtegemea huyo mtarajiwa anifanyie..au nimkimbie sababu tu uwezo huo hana kwa wakati ule.

Kuwa na uchumi unaoleweka ni kitu kizuri ili stress za kodi na tutakula nini zisiwe juu sana maana hiyo yaweza sababisha mfarakano kwenye ndoa. Ila sio lazima mwanaume ndo awe mambo safi...anaweza akawa anafanya kazi ya kawaida sana ila kwa malengo ya kuendelea mbeleni...na kama mwenzake anaweza kurahisisha maisha untill then basi anaweza kuoa. Na kama una mawazo ya “mwanaume halelewi bwana“ jiulize mkifunga ndoa wewe mwanaume ukiwa na pesa alafu baada ya muda mambo yakakuendea kombo huku mkeo akiwa bado anajiweza je akuache?!Au wewe utataka kumuacha ili asikulelee?!
Kusaidiana kupo iwe mwanzo au baadae sana katika ndoa...oeni watu wanaoweza kuhimili mabadiliko ili msije JF kulalamika mnavyodharauliwa/mkeo anavyotembea nje sababu mambo ya pesa hayakuendei vizuri kama mwanzo.

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,397
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,397 2,000
huyo lizzy kama amekupenda kwa dhati na kukubali kufunga ndoa nawe ataforgive hizo bill za blackberry and 2GB...kuoa sio tu kuwa na uwezo wa kumhudumia mke...kukubaliana kuishi kwenye maisha ya ndoa ni mapenzi ya dhati baina ya watu wawili na mtaishi kwa kusaidiana,kupeana support kadri itakavyowezekana ...kama upo na mke kwa sababu tu unampa fedha za kutosha then bila shaka she loves ur fckn money and not you
Asante!!

Wanaotakiwa kuoana ni mtu na mtu na sio mtu na pesa!!Acha watu waendelee kulia kwa kuoa/olewa kwa kuangalia pochi!!

Forum statistics

Threads 1,379,616
Members 525,469
Posts 33,750,739
Top