I love you is a present tense kwa nini watu wanafikiri na kesho na keshokutwa

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,929
Points
2,000

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,929 2,000
Nikisema i love you ni present tense i dont mean tomorrow ,i may change my mind.kwa nini watu wanafikiri always utampenda mpenzio
 

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
9,339
Points
1,500

Filipo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
9,339 1,500
Tatizo ni lugha. Tunaongea kiingereza huku tunafikiri kwa kiswahili!
Ndio maana Mpoto akasema fikra sahihi huja kwa lugha sahihi! Lol...!?
 

Forum statistics

Threads 1,379,706
Members 525,537
Posts 33,754,938
Top