Kwa nini ni kwa wanawake/wasichana tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini ni kwa wanawake/wasichana tu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by twenty2, Aug 29, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa wasichana/wanawake tu?wavulana je?
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mimi sina hata mmoja wewe je?
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,743
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu nyie wenyewe mnasema...........
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  nadhani ni kwa sababu wanaume wamejihalalishia wao kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. si unajua nkuki kwa nguruwe?
  <br />
  <br />
   
 5. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huna hata mmoja nani?
   
 6. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunasema nini?
   
 7. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cjakuelewa nifafanulie zaidi?
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  si mupenzi?
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,743
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Kuwa mnao mabwana zaidi ya mmoja, kuna wa usafiri, kuna wa Vocha, kuna wa kodi ya Pango..... yaani inategemea na mahitaji yenu... uongo?
   
 10. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,663
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  maumbile yao hayasupport kuwa na more than 1 man
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,296
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tangaza kuwa umeachana na mimi!!!!!!!!!
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,236
  Likes Received: 27,842
  Trophy Points: 280
  Kama mungu mwenyewe ni mwanaume mnategemea nini?
   
 13. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu ya matendo yenu ya kutokutulia!!!!!!
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Njoo kwangu mamsapu wangu Beibeeeeeeeeeeeee(baby)
   
 15. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  hahahaaa, kweli nkuki kwa nchungu kwa binadamu ngu....no (kitimoto). Eti wao kuita a.k.a nyumba ndogo hawaoni tabu, dreva taxi, mh...!!!!
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  acha urongo na umbea
  nan kakwambia mungu mwanaume?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,236
  Likes Received: 27,842
  Trophy Points: 280
  Umewahi kusikia 'mama mungu'

  Au 'mama yetu uliye mbinguni'?

  Au 'mama mwenyezi'?
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,388
  Likes Received: 7,713
  Trophy Points: 280
  Mimi nikiwajaza kwenye fuso hawatoshi, nina mademu mingi sana.
   
 19. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 645
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  kuna mtu alishasema kwamba~ "kufuli moja likifunguliwa na funguo nyingi basi hilo halifai ni kimeo, ila funguo mmoja ukifungua kufuli nyingi basi huo unaitwa master key" nadhani hii itakupa jibu sahihi..
   
 20. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 699
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hahaha imenifurahisha hii
   
Loading...