Wikiendi njema kw!!a wanawake wote wanaoendelea kuvumilia ndoa zao

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,699
2,000
Bila kusahau wale walioseviwa kwenye simu""lowbattery""" simu ikiita mkeo anakimbiza simu kwenye charge nae
nampa wikiend njema na wale walioshtuka msemo huu nao nawatakia wikiend njema maana mapenzi ni mavumiliano
akuna aliezaliwa na mumewe ama mkewe basi na mie sioachi kujipa wikiend njema n a mama didy kwa kuendeleea
kuvumiliana

bila kusahau makobe wote waliokula mfungo wa eid wenzao wakifunga nao nawapa wikiend njema
kwa wana jf wote hiinawapa wikiend njema whatever you do dont over do""

nimesahau kuwapa wikiend njema wale wote walikuwa na watoto wa4 huku akijua 4 wake wote kumbe mmoja
anamtunzia rafiki yake nanyi nawapa wikiend njema ila msiend e kupima tu dna
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom