Nini maana ya hivi vibwagizo?


tindikalikali

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
4,876
Likes
107
Points
135
tindikalikali

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
4,876 107 135
Mwanzo nilikutana na "lol" sasa imekuja "mia". Jamani sielewi mwenzenu, ebu anayejua/mwanzilishi afunguke
 
Rose1980

Rose1980

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
5,701
Likes
31
Points
0
Rose1980

Rose1980

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
5,701 31 0
mia-MAMBO SAWA.POA.SAWASAWA.FRESH....iyo lol msubiri NN atakusaidia...
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,203
Likes
3,356
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,203 3,356 280
muulize figganigga ndio muasisi wa mia
 
NG'ADA

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
153
Likes
0
Points
0
NG'ADA

NG'ADA

Senior Member
Joined Sep 2, 2011
153 0 0
lol (laughing out loud) ni online word..ukiwa unachat...
 
U

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
4,745
Likes
30
Points
145
U

uporoto01

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
4,745 30 145
Hiyo lol! umeelezwa,mia nimekutana nayo hapa mwanzilishi anaitwa Figganigga ni kama kimalizio kwenye sentensi na wengi tunaitumia tukimjibu au mada anazoanzisha.mia
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
592
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 592 280
Aminia, fresh , safi,
 
T

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Messages
5,342
Likes
1,119
Points
280
T

Tata

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2009
5,342 1,119 280
lol (laughing out loud) ni online word..ukiwa unachat...
Ahaaaah! nilikuwa sijui asante kwa muuliza swali. Kwa hiyo crying out loudly itakuwa col. Manake post nyingine zinawaliza watu ati.
 

Forum statistics

Threads 1,249,431
Members 480,660
Posts 29,698,250