Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndiyo hiyo
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Ni binti wa 2nd year ktk moja ya vyuo vikuu hapa nchin ambae nimekuwa kwnye uhusiano nae kwa miez 8 sasa,nampenda na ananipenda pia. Inshu iko hivi,mama yangu na ndugu zangu hawataki hata...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Igweeeee!! tatizo ni nini, kuna nini wakuu? Suala si lingine nalotaka kulizungumzia ila ni hili la siku zote, NGONO!! Tena Ngono ZEMBE! Jamani elimu ya kutosha tunapata kuhusu UKIMWI na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Uzoefu unaonyesha watu wengi hufumba macho wakati wa kupiga denda na wakati wa kubusiana,kama unabisha jaribu kupiga busu uone kama hautafumba macho,swala ni kwanini naombeni majibu
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Kwamba wanawake wengi ambao wameolewa wanapoamua kutoka nje, hutoka na waume za watu, na sio wanaume ambao hawajaoa. Haifahamiki sana ni kwa nini wanawake walioolewa hutoka nje na wanaume...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani nina hamu ya kutoka na angalau mdada mmoja wapo humu JF hakika atafurahi raha nitakazo mpa. Mwakaribishwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Broke up about a year ago..I av bn lvn like a dead body.. If you cn be n you need to be you are always welcome as long as ma door is open.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hebu pata picha, nimetolewa kijijini nimeletwa mjini kuolewa na mtu ambaye hata sijawahi kumuona na simfahamu kabisa. Mtu huyu ni mlevi kupindukia, haachi matumizi nyumbani, tunadaiwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Suppose una miaka kama sita ndani ya ndoa, na una watoto pia.....! Mwenzi wako amekuwa na siri kubwa ambayo hajawahi kukushirikisha, nawe pia hujawahi kupata....! It is obvious that people do not...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu february nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa ambapo vyombo ya kimagharibi vinadai kuwa majeshi tiifu kwa kanali M Ghadaffi yanadhibiti sehemu ndogo ya mji wa Tripol...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaa yangu yuko nje ya nchi na mkewe yuko tz. Sasa anasema ati wanatumia webcam kufanya mapenzi. Wanakuwa wanaongea na kuonyeshana sehemu za siri huku wakizisugua hadi kila mmoja anakojoa. Halafu...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Chukulia kwamba mpenzi wako anakosea mara kadhaa kutaja jina lako. Inawezekana siyo katika hali ya kawaida, bali hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Je ungefanyaje kama jambo la aina hiyo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jaman hawa wapendwa we2 lizzy na ally wa kitaa wamezid stor baada ya kuchangia mada.2wafanyaje watu hawa!
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kila niangaliapo wanaonizunuka nahisi kuibiwa kama wanavyoibiwa wao. na ukiangalia kwa undani wengine wanajua kuwa wanaibiwa, wengine wanahisi lakini pia wapo ambao totally hawaelewi kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Assume one day ukaenda kupima damu ukakutwa umeambukizwa HIV au nduguyo ametest positive(just assumption), utaendelea/utamshauri kuwa na mipango ya kuoa/kuolewa na kuzaa watoto? Kwa nini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni wazi unawajua wanawake ambao wanaishi katika ndoa ngumu za manyanyaso hadi unafikia kuuliza, ‘hivi huyo mwanaume amempa kitu gani kikubwa hivyo?' Wanawake hawa nao wanakuwa wamefikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
First of ol,nawapenda wanajf,..jaman,mbona hizi headings cjui titles sometimes na maelezo vinakuwa haviendani,2navutiwa na titles maelezo daah,ndo nini sasa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Whatzap jf ! upande gani wewe unaona unafaa zaidi kwa sasa? maelezo yako yazingatie nyakati hizi.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari tena wanajf..namefanya tathimini,wanajf nimegundua tunamasihara,yani tupo kwa jili ya kupoteza muda.wachache sana utakuta wanaongea serious,jamani mtu mpaka aeleze tatizo lake ni kwamba...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom