Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakisha staafu hawataki kurudi kijijini, wakipokea mafao yao wanawadanganya mama zetu eti mafao yao yamepelekwa kwa wastaafu wa East African Community. Nyumbani hawaonekani, wanarudi usiku wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pengine ni wengi wangesema shida lakini je shida ngapi zinakufanya mtembee na mamazenu waaliowazaa kisa ni mabosi wenu jamani je mitembea nao wanaweza himili kumaliza shida zenu..??wapo wale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Pengine nilkuwa nafikiri utan nikiwa naenda kauoga bibie akaniita njoo nikasikia kwenye redio kipindi cha magazeti kwamba kuna gonjwa limezuka linaambukizwa' kwa kunyonyana ndimi na mwisho wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijajua kwa nini wanaweka bei kubwa kupima hii dna nimekaa nikaangalia jinsi watu wanavyoisihi hasa kwenye mahusiano na kuamini kuzaa nje ya ndoa ni swala la kawaida kabisa kama mnaishi bila...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanzo nilikutana na "lol" sasa imekuja "mia". Jamani sielewi mwenzenu, ebu anayejua/mwanzilishi afunguke
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu wasalaam! wakuu ninahitaji tution ya chap chap! rafiki yangu kanipa heshima ya kuwa best man wake siku ya harusi inayotarajiwa kufanyika siku ya jumapili! kwa vile issue hii ni muhimu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi kama ingelikuwa imetabiriwa Yesu kuzaliwa katika kipindi hiki, kuna bikira ambaye angepatikana kama Mariam alivyopatikana kwa ajili ya kubeba mimba ya Yesu manake kizazi hiki mhhhhhhhh!!!!!!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Bila kusahau wale walioseviwa kwenye simu""lowbattery""" simu ikiita mkeo anakimbiza simu kwenye charge nae nampa wikiend njema na wale walioshtuka msemo huu nao nawatakia wikiend njema maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bila kusahau wale walioseviwa kwenye simu""lowbattery""" simu ikiita mkeo anakimbiza simu kwenye charge nae nampa wikiend njema na wale walioshtuka msemo huu nao nawatakia wikiend njema maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
hi! ihv ma girlfrnd na 2na 1yr kwny rltn,bt kila ninapomtambulisha kwa rafiki zangu hw anarespond negatively na hata frnd wakija kunipa hi home huwa hafurahishwi,even nikimwambia 2kawatembelee...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kabla sijaanzisha huu mjadala, naomba wanawake wote wa JF wanisamehe kama mada hii itawa upset in one way or another. Mimi binafsi kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu wanawake ndio maana...
3 Reactions
105 Replies
8K Views
Nikisema i love you ni present tense i dont mean tomorrow ,i may change my mind.kwa nini watu wanafikiri always utampenda mpenzio
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesoma mahali fulani mama mmoja baada ya kuolewa siku moja akakuta barua na nyaraka mbalimbali zote zimebadilishwa kuwa Mrs. Rose Pesambili - Pesambili likiwa jina la ubin la mume wake. Mume...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Lost is our freedom When we submit to women so: Why do we need 'em, When their best they work our woe? There is no wisdom--Thomas Campion
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanachama sasa tuanze kuandika ujumbe wa mapenzi ambao unakuvutia na ungependa kushirikiana na wenzako popote pale wanaposoma jukwaa hili karibuni sana
0 Reactions
46 Replies
134K Views
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanajamvi vp leo mtakuwa wapi na wapenzi wenu?mintakuwa club lips mwanza na my wife to be what about you?
1 Reactions
0 Replies
796 Views
Nimekutana na matukio ya baadhi ya wajukuu zangu ambayo yameniacha hoi, Kwa wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi (bila kujali strength ya bond), ni taarifa kiasi gani anatakiwa kupewe wa...
5 Reactions
94 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…