Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,138
- 157,076
Wakisha staafu hawataki kurudi kijijini,
wakipokea mafao yao wanawadanganya mama zetu eti mafao yao yamepelekwa kwa wastaafu wa East African Community.
Nyumbani hawaonekani, wanarudi usiku wa manane wakiwa wamelewa chakari.
Sometimes tunagonhana nao viwanjani wakiwa na tutoto tu teenager.
Hatuwaambii mama zetu kwa usalama wa ndoa zenu, na pia tunajua uzi hupita ilimopita sindano, lakini namuomba Mungu nsiige tabia yako mbaya.
Mungu akubadilishe leo usimrudie mama usiku wa manane.
Halafu nahisi kale kademu kako kanakupa mtandao laini wenye kubnana kuingia