Gonjwa la kunyonyana ndimi limeingia linakuondoa na upungufu wa kinga atapona mtu kweli??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
Pengine nilkuwa nafikiri utan nikiwa naenda kauoga bibie akaniita njoo
nikasikia kwenye redio kipindi cha magazeti kwamba kuna gonjwa limezuka linaambukizwa'
kwa kunyonyana ndimi na mwisho wake linakumaliza nguvu unabadilika rangi unakwenda

wakiongea kwa masikitiko waziri wa afya amesema ni kweli gonjwa hilo limeenea dar na watu wanakufa
kwa upungufu wa kinga mwilini na wanaishia kubadilika rangi ..gonjwa hilo huambikizwa kwa ngono ama
kunyonyana ndimi na aina dawa waala chanjo alisema mh waziri

mungu atusaidie kwa kweli kwa nini tusimrudie mungu wapendwa??
 
muhanga

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
874
303

kwa ngu mie gonjwa hili lingenitisha endapo lingekuwa linaambukiza kwa njia kama za hewa maana kwenye madaladala wangekufa wengi, lakini kwa kuwa gonjwa hili linahusisha watu walio kwenye mkataba wa kupeana uroda au kunyonyana ndimi basi kazi kwao walioingia mikataba hiyo kujilinda kwa kuwa na mtu 1 muaminifu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom