Ndugu wana JF,
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana...
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo...
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.
Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali...
habari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na...
Ni jambo ambalo litawashtua wanawake, hasa walioolewa au ambao wana wapenzi wanaoaminika, kwamba, kila wanaume kumi ambao unakutana nao kila siku, watano kati yao ni lazima wameshakutana na...
...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and...
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha...
Naona wanaume wametaharuki kwa hicho kichwa cha habari…………….Jamaniee sina maana hiyo! Namaanisha ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia na sio kwa kumtoa...
Habari wana jf,
kwanza nna majonzi kwani yapata wiki tatu sasa tangu tumuage mama yetu mzazi,
ila jambo linalonifanya niendelee kukosa furaha ni kwamba mama alinyanyaswa na shemeji (mke wa kaka...
Salaam wanajf wenzangu wote..
Lord have mercy…..
Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai...
katika uchumba/mahusiano ya kimapenzi inatokea kufarakana hata kuachana...je vile vitu mlivyokua mkipeana enzi hizo (zawadi,..picha) yapasa mrudishiane?..
Wapendwa hapa JF za siku, bila shaka wengi wetu hapa ni wapenzi wa mitandao mbalix2, ukiwemo wa fb, jitahadharini sana sana na huu mtandaoo, umeshavunja uhusiano wa wapenzi wengi sana, na sbb hizi...
Why does love feel so good? By Helen Fisher, Ph.D.
Tell me where is fancy bred, in the heart, or in the head? asked Shakespeare. He was one of millions who, over the centuries, have wondered...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.