Ni nini kimekuweka macho mda huu...?

usiku nilikuwa ninauchapa.....................kwa hiyo sikuwa macho.................lakini upweke una sababishwa na nini hata ukunyime usingizi?

Suala la usingizi kuupata ni la Muumba........................Psalms 127:2..............................."It is vain for you to rise up early, to sit up late, to eat the bread of sorrows, for so He gives His beloved sleep."
 
me ni upweke wa kuwaza wapi nitapata chapaa wanaotaka kunipa wanataka tupige bendi kwanza nisije nikaingia mitini kazi kweli kweli
 
Mi naimbisha .......wadau niongezeeni mistari mana naona mchuchu hanielewi!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom