Kutongoza raha jamani...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,296
Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah!

Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...
 
uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,701
1,381
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
218,593
728,517
Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah!

Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...

bado hujajibu swali ni raha ipi ya kutongoza.......................yaani sioni uhusiano wa kichwa cha khabari na mada.....................
 
bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
790
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!

na kweli mabwege huwa mnawapata kweli.............................

chezea hao hao, wengine hatujaribiwi ati....................
 
Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
826
kujilipua ndio mpango mzima tutawapataje wenza wetu sasa? mie niko kwenye mchakato nikipendezwa tu najifunga mabomu najilipua inshallah ntampata tu ........
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,773
23,063
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!

hahaha pole,alikufanya buzi. Ila wanawake vbaya hvyo mfanyavyo mjue
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom