Mnapopigana "vibuti"...

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
katika uchumba/mahusiano ya kimapenzi inatokea kufarakana hata kuachana...je vile vitu mlivyokua mkipeana enzi hizo (zawadi,..picha) yapasa mrudishiane?..
 

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Wala haifai kurudishiana coz sio vyote vinavyorudishika,na isitoshe mlipeana kwa mapnz kama mlikubaliana kwamba siku mkiachana mrudishiane vitu hapo sawa rudishianeni japo ni wazi hamtaweza kurudishia na vyote, maana kuna vinavyoonekana na visivyoonekana,kama mapenz yameisha basi achaneni kwa amani,kudaiana vitu mlivyohongana ni ulimbuken tu na roho za visasi!
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,182
14,319
mhhh haya sas amatatizo
Kurudishiana vitu ni ushamba fulani
Kama ulimpa kwa moyo ya nini kumdai bana
We umeachana nae endelea na yako
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
katika uchumba/mahusiano ya kimapenzi inatokea kufarakana hata kuachana...je vile vitu mlivyokua mkipeana enzi hizo (zawadi,..picha) yapasa mrudishiane?..

Chupi, pesa, khanga, nk. zinaweza kurudishwa, lakini nguvu za kiume hazirudishwi ng'o!
 

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
722
Mrudishiane ili iweje?

Ila inategemea mwenzangu maana wadada wengine anajifanya kumpenda mbaba wa watu ananunuliwa gari au anajengewa nyumba akishapata alichopata anamkimbia baba wa watu na kwenda kwa kiboifurendi chake akipendacho. Huyo mwenzangu anastahili kunyang'anywa kwa nini umchune hivyo mtoto wa mwenzio na kumbe ulikua humtaki? Au unamnunulia gari mpenzi wako wa kiume kama unazo matokeo yake anaanza kufanyia umalaya we hakuthamini tena kwa nini nisikunyang'anye?

So inategemea na pia inategema mmeachana vipi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom