Wanaume na Ndoa mpya za kwenye semina .....!

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Kila semina uendayo unakuwa na mpenzi mpya...kwa stail hyo afya zitasalimika na HIV KWELI? Am scared....!
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
6,538
Wanaume hawafai kabisa hawa. Mnakutana siku moja tu kwenye semina anajifanya amekufa ameoza juu yako. Wizi mtupu.

Husy darling siku hizi si wanaume peke yao!hata wanawake wamecharuka mydia usiombe! Akishakamata mshiko anatembeza offer kwa aliyemdondokea ili mradi tu apate wa kumpashisha joto mpaka mwisho wa seminar!

Hali ni mbaya maana siku hizi tunashindana, Mr akihonga nyumba, mke anahonga gari
Mr akihonga gari,mke anatoa offer ya mafuta
Mr akitoa offer ya mafuta, mke anahonga simu ili mradi tu kila mtu anaingia kwenye game!
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
24,418
19,659
nimetoka kwenye semina ya kusimamia mtihani mmoja wa kitaifa.. "jina kapuni".. kila mwanamke niliye jaribu ku.. "flirt" naye... alikua ready... so sijui kuna nin hapa. kosa la mwanadada au mkaka..
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
24,418
19,659
Wanaume hawafai kabisa hawa. Mnakutana siku moja tu kwenye semina anajifanya amekufa ameoza juu yako. Wizi mtupu.

kwa hiyo kama wewe ni mdada mwenye akili timamu.. kwanin u mind!! why should you bother!! potezea
 
Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
hapa tulipo sipo kabisa
tunaelekea pabaya zaidi
tuendage na wapenzi wetu sasa
lakini bahati mbaya binadamu ni kiumbe wa ajabu sana
 
Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
327
65
Nijuavyo mimi issue ya mapenz ni maelewano ya pande zote mbili (me&ke) hata huko semina si mwanaume anamtress mwanamke kwa interest ambayo hata mwanamke atakubali kwa interest hiyo hiyo? Tena sometimes hata wanawake wanakuwa front line kuwatega wanaume? Sasa mbona hii thread ina2lenga wanaume2 na kwa nn wanaume ndo tuwe wakulaumiwa2 ktk love abuse?
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,787
9,115
Husy darling siku hizi si wanaume peke yao!hata wanawake wamecharuka mydia usiombe! Akishakamata mshiko anatembeza offer kwa aliyemdondokea ili mradi tu apate wa kumpashisha joto mpaka mwisho wa seminar!

Hali ni mbaya maana siku hizi tunashindana, Mr akihonga nyumba, mke anahonga gari
Mr akihonga gari,mke anatoa offer ya mafuta
Mr akitoa offer ya mafuta, mke anahonga simu ili mradi tu kila mtu anaingia kwenye game!

dah! Wanawake tunaweza weza. Ingawa tunaona ndio usawa ila tunazidisha matatizo tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom