Bikra yake imechukuliwa na doctor

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi.

Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?
 

Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Pole sana kaka mwombe mungu akufungulie kwani wengi waongo mara nilianguka na baiskeli yaani wamejaa uongo
 

1menARMY

Member
Oct 5, 2011
17
1
Hamna kitu hapo kaka na hata misaada uliokuwa ukipewa sio kutoka kwao na kwa wanaume wenzako na sio mmoja
 

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Sio ushamba wajameni mtoto alikuwa ameokoka, tena tulikuwa koz moja wala hakuwah kuonesha anamepotoka kimaadili.
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,974
1,640
Kwani we unatafuta bikira yake au unatafuta mpenzi. Kwani hiyo bikra yake unataka ukaifanyie tambiko kwenu, we vp mkuu! Kama unampenda chukua mzigo nenda kaishi naye, mambo ya bikira, watu mpaka wanpata wajukuu wanaiskia tu hiyo kitu. Huwa inaondolewa mapeeeeeeeeeeeeeeeeema kabla hat mtu hajamaliza s/msingi.
 

Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,234
13,383
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi. Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?


ulichokuwa unataka ni bikira au kumega?
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,265
9,668
daaah pole sana ila la kukushauri endelea naye kwani ulipoenda mtongoza ulijua kuwa ni bikra? kama hukumfuata kutokana na yeye kuwa bikra basi potezea na endelea naye kwani wengi wameolewa na machenza ndoa zao wanajua kuzitunza na wangapi wameolewa na machungwa mpaka sasa ndoa zao hawajui kuzichunga?
 

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Nilimweleza bado siamin' akadai 'yupo tayari kufa ila sio kunikosa kwani hawez kuishi bila mimi nliyemfundisha mapenzi!
 

arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,285
583
AHAHAHAHAH jamani mbavu zangu!!! duh pole sana,naomba nikulize kaka,Kwani Bikra ni kitu kikubwa sana chakufanya mpaka uachane nae au unamuacha sababu kakudanganya? ulidhani umewahi kumbe wenzio walishakula kitambo..lakini sikuizi kaka kuipata bikra unaipata Muhimbili peke yake kule ward ya watoto wachanga hukumjini zipo za Kichina tuu...
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom