kupenda na kupendwa

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
wadau naomba tufahamishane kuhusu hili jambo,hivi ni jambo lipi lililozuri kati ya haya KUPENDA au KUPENDWA....???
 
To love is nothing,to be loved is something and to love and be loved is everything,............
 
Kote kuna uzuri na ubaya wake, unapopenda usipopendwa kuna madhara makubwa unaweza pata depression mpaka basi, unaweza pendwa na usiyempenda wala kumtamani hapo inakuwa taaabu vilevile na vyote vikiwa viceversa inakuwa raha kwako
 
Saaaaaaaaaaaafi Dinnah, hivi unapatikana mitaa gani vile???? ha ha ha ha!!!
 
Yani ukishaona thread za maloveee ujue weeekend imeshafika watu wanatafuta hisia..haya nakuja ngoja nipitie nyingine kwanza halafu ntatoa jumuisho maana fasta fasta nimeziona zipo kama kumi zilizoanzishwa jioni hiii...hahahaaaa kumbe wengi huwa mnatongoza weekend na kunanihii weeekend kwa weekend....ndio ufike sasa kuna mafuriko sijui utaingilia wapi...haya kweherini
 
Kote kuna uzuri na ubaya wake, unapopenda usipopendwa kuna madhara makubwa unaweza pata depression mpaka basi, unaweza pendwa na usiyempenda wala kumtamani hapo inakuwa taaabu vilevile na vyote vikiwa viceversa inakuwa raha kwako

Hapo umenena, kupenda na kupendwa pia vyote vyahitajika ili kukamilisha mustakabari mzima wa mapenzi!!
 
wadau naomba tufahamishane kuhusu hili jambo,hivi ni jambo lipi lililozuri kati ya haya KUPENDA au KUPENDWA....???

yote yanapaswa kwenda pamoja........likikosekana moja kutakuwa na kero ya mmoja kuachwa kwenye mataa...........
 
yote,ukipenda anayekupenda raha,ukipendwa na usiyempenda tabu,ukipenda usipopendwa tabu.....so,kupenda na kupendwa yote ni mazuri.

Eiyer said:
Wanadam kwa kujitafuta kaaazi kwelikweli!

Kazi yako nikupenda tu, kupendwa liko nje ya uwezo wa nafsi yako hivyo huwezi kushurutisha juu ya hilo

Tekeleza jukumu lako, wewe penda. mwache upande wa pili nae aamue juu yako
 
Ukipenda usipopendwa? Inakuwa nini, mtaro?

Kipipi nakuambiwa hakuna kitu kibaya kama kupenda halafu unayempenda hakupendi. Maana kitakachoonekana ni kwamba kutokana na kupenda kwako usiyempenda anaweza kukuhurumia, lakini akawa na mwenzake waliyependana naye. Labda usiwe na wivu, hapo mambo yataenda sawa
 
Back
Top Bottom