Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vukani, Oct 7, 2011.

 1. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona wanaume wametaharuki kwa hicho kichwa cha habari…………….Jamaniee sina maana hiyo! Namaanisha ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia na sio kwa kumtoa roho………Mweh!

  Inaelezwa kwamba kutokana na maumbile mwanaume hujiona ni mkamilifu wa kila jambo, kumbe sio kweli. Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia, basi mkosoe, hapo ndipo lilipo tatizo. Mwanaume akikosolea hujiona kama amepoteza uanaume wake, na hasa kama anayemkosoa awe ni mwanamke, ndio anakuwa kwishnei kabisa.

  Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa………….. Yaani wao kukosolewa na mwanamke hukuchukulia kama aina fulani ya udhalilishaji, na kichwani mwao huenda maswali mengi sana ya kuhoji ukamilifu wao.

  Si kama mwanamke akikosolewa haumii, la hasha, huumia sana, lakini kiwango cha maumivu hutofautiana sana na kile wanachopata wanaume. Wanawake wamezoeaa kukosolewa tangu utotoni, kwa hiyo kwao hiyo sio ishu tena, kwani mfumo dume umewafanya waikubali hali hiyo pasi na hiyari yao.
   
 2. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ukinikosoa nakutwanga makofi...over
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmmmh! Kwahiyo wanaume hampendi kukosolewa?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Husninyo soma hii.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  We nyani sitaki.
   
 6. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  usijaribu.
   
 7. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  basi nishajua ngao yangu
  Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa………….. Yaani wao kukosolewa na mwanamke hukuchukulia kama aina fulani ya udhalilishaji, na kichwani mwao huenda maswali mengi sana ya kuhoji ukamilifu wao.
  yani nikiumia tu wakati wa maakuli mm namkosoa basi ye kwishney....................
  asante shoga umenipa ushindi na umeniokoa na mengi hujui tu
  nitakutafuta huko maishani na kukupa bonge la zawadi hutaweza kuamini
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hutaki nini?
   
 9. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwanza hawajiamini........ ubavu wa kukubali kukosolewa waupate wapi?
   
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sio kweli... inategemea na the way unamkosoa. Nadhani wanaume kama wanawake hawapendi kukosewa heshima. sasa wewe unamkosoa mwenzio katika tendo la ndoa alafu unategemea atakua bado imara? nenda ukafundwe upya mamaa
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Vukani jamani,kwenye red hapo,ina maana wewe katikati ya malavidavi badala ya kupumulia mdomo huwa unaongea?yaani wakati mzee ndo hoi kajikunja anamalizia kaufundi kote we ndo huwa unamwambia 'lakini baba Kayai hako kativii ulikoleta mbona kakichina?' , mmmmmmhhhh
   
 12. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Halo halooo....... ndiyo shoga..... hawana ubavu hawa, wanajikweza tu............
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Danganyaneni!
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  uchokozi wako.
   
 15. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sasa kama anafanya kama Bata nisimwambie.... Mweh! Mie nataka kufikishwa kileleni , halafu analeta mapozi................usharobaro wake huko huko..........LOL
   
 16. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  utakosoaje wakat inaonekana waz gem imekuelemea? Nisawa tu na kuita watu waje wamtoe m2 aliyekuzid nguvu wakat wa ugomvi et utamuua, wakati inaonyesha waz umezdiwa. By z way hiyo technique haiwez kufua dafu kwa muundo huo..lol
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umeona eeh. Ukimkosoa kweli unamuua. Ngoja tuwasifie tu.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwahy ht km unakojoa kitandani usikosolewe usifiwe tu?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Oct 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Haya mwaga sifa zangu hapa.
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  [h=2]The Following User Says Thank You to vukani For This Useful Post:[/h]
  AshaDii (Today) ​
   
Loading...