Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JamiiForums, Sep 9, 2010.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,100
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana JF,

  T
  unasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
  His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.

  Anasema anawamiss sana JF members na anamiss the forum.
  Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.

  Uongozi wa Jf na kwa niamba ya members wote wa JF inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.

  Mungu mbariki na msaidie Lunyungu.
   
 2. MasterMind

  MasterMind Senior Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oh jamani,
  Pole sana Lunyungu,
  Tutakuombea Mungu atakusaidia utapona.

  Pole sana comrade.
   
 3. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Get well soon Lunyungu, hope you will have a successful operation
   
 4. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana ndugu yetu Lunyungu, Mungu akutangulie upone haraka.
  tutakumiss sana jamvini.
  God Bless you.
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tunashukuru kwa taarifa mkuu wa kaya!
  nimekuwa nikijiuliza muda mrefu sana ni kwa nini huyu mtu hapatikani sana...!
  MUNGU AKUSAIDIE KAKA!...
  nitakupigia very soon
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Get well soon Lunyungu, wakuu mnaonaje tukiandaa utaratibu wa kumsaidia ndugu yetu, well kwa hali na mali????
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tunakuombea upone haraka ndugu yetu. Tunamiss sana michango yako makini.
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  pole sana kaka.
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Pole sana Lunyungu, tunakuombea kwa Mungu akuponye haraka...! Nasi tunakumisi sana, lakini hopefully you will get back to the forum with good health...!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,586
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  \

  pole ndugu yetu jamani maombi hivi hivi kwa nini tusianzishe mchango wa kumsaidia anaenda kula operation haya ndio mapenzi ya dhati binafsi naanza na alfu tano naonmba antumie namba ya mpesa
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Pole sana kiongozi,

  Mungu atakujalia upone na kurejea hali ya afya yako kuwa njema na imara.
   
 12. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Pole sana
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  :eyeroll2:pole sana mkuu MUNGU akusaidie upone haraka
   
 14. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pole sana Mkuu tupo pamoja kwa maombi na ushauri katika kipindi hichi unachotuhitaji hasa
   
 15. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Luyungu mi binafsi nakutakia kila la kheri upate nafuu ili urejee kwenye uwanja wa mapambano. Get well soon brother.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nakuweka kwenye maombi ndugu yangu operation ifanikiwe!
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi mungu aliye mwingi wa rehema na upendo amponye mja wake na kumuondoa katika maumivu hayo makali yanayomsumbua .
  Tutamuweka katika maombi yetu siku zote na tutakuwa nae katika ugonjwa katika kumfariji mpaka hapo atakaporudi katika afya yake Amen
   
 18. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lunyunyu! MUNGU wa mbinguni, aliyeumba mbingu na nchi akuponye Kiongozi!
  Pole sana!
   
 19. K

  Kosmio Senior Member

  #19
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana Ndugu yetu. Kwa uwezo wa muumba utapona tu. Tunazidi kukuombea ndugu yetu.
   
 20. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tunakuombea kwa Mungu akuponye
   
Loading...