Elijah Maliondo
Member
- Oct 21, 2010
- 13
- 0
...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and downs...naogopa asije akatumia u-boss wa mzazi wake kunionyesha undava....nimuache au nimwambie la moyoni.....!!?