Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jay One, Oct 7, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Wapendwa hapa JF za siku, bila shaka wengi wetu hapa ni wapenzi wa mitandao mbalix2, ukiwemo wa fb, jitahadharini sana sana na huu mtandaoo, umeshavunja uhusiano wa wapenzi wengi sana, na sbb hizi hapa;

  1: Utakuta msg nyingi mmechat with different people, as usual kama young guys watatongozana na kumpa hongera mwingine mara mrembo, handsome etc, hii kwa wenye mahusiano ni sumu kubwa, itawamaliza, trust me

  2. Utakuta pictures za zamani say mlipiga na different men & women, na wote wapo in ur friends list, na wamemwaga sifa kibaoo kuhusu those pics, nakwambia hii inampa mawazo mpenzi wako kuwa bado mna mahusiano fulani hata kama hamkuwa wapenzi, hiii ni hatari kwenye uhusiano wenu kabisa, stress levels kila siku zitawaua

  3. Mbaya zaidi unakuta mmoja wenu kwenye mahusiano ya mapenzi yenu yeye kila siku ana add friends kibaooo, unakosa majibu, huyu vipi, anawajua hawa watu wooote wapi? Na mmoja wenu ataanza kuudhika, kuanza kuwaza labda hutosheki nae, each day new friends kibaooo, ukiuliza utaambiwa just friends na hawajui, hapa kaa mbali

  4. Picha zote ulizopiga na wanaume/ wanawake tofauti zinaweza kujieleza waziiii nyie mkoje, ni wapenzi au la, au ww ni mhuni au la, so hata ukimpata mpenzi mkaanza uhusiano akaja kuziona atashtuka, na kusema hapa nimekosea, just kwa vitu vya past labda hata hukufanya lolote sana,

  So mm nawatakia mapenzi mema, mcje kuumizana kisa Facebook, muwe macho wana jamii wenzangu, haya ni machache tu
   
 2. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Yamekukuta nini maana umetoa nondo za ufasaa. ....let me reserve my comments. Otherwise your message is noted with thanks.
   
 3. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nilideactivate my facebook a/c baada ya kuona ni useless kwangu kwani watu wengi wanaitumia sivyo. Pia watu tumekuwa malimbukeni wa tamaduni zetu kweli kweli kwani unakuta mtu yule kwenye daladala au mgahawa anapiga simu eti "ingia facebook tuchat" ukikaa kidogo "ingia facebook tuchat" huu naita ni ujinga kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kudhania kuwa anaenda na wakati kwa kupoteza mda kufanya mambo ambayo hayana manufaa ya kimaisha kwake sisi huku tunajifunza bwana.
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,401
  Likes Received: 414,710
  Trophy Points: 280
  unachoshauri tuwe wanafiki jambo ambalo ni la muda.................fb inachofanya ni kuanika uozo au uzuri tulionao mioyoni mwetu..................na kubwa zaidi ukiona walimwengu wamekupenda sana ujue ni kwa sababu umekuwa mtu mwovu aidha kimatendo, kauli au kifikra na hivo unashabikia kumkashifu Muumba kwa namna hiyo kama Mtume James anavyotuasa..........James 4:4 "Adulterers and adulteresses! Do you not know that friendship with the World is enmity with God? Whoever therefore wants to be a friend of the World makes himself an enemy of God.".......kwa hiyo tatizo siyo fb tatizo ni fikra zetu zikoje?
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  me naamini lengo la facebook sio hili... Sisi ndio tumekuwa limbukeniz.. Mtu anaenda kabisa photopoint jus for a profile pic ya facebook? Na huyo ana mpenzi.

  Comments wamegeuza chatrooms. Inboxes uwanja wa kutongozana.
  Status mahali pa kupigana vijembe na kujisifu.
   
 6. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  tatizo kubwa ni mapokeo ya hizi social networking maana unakuta unaingia huku mantiki nzima ya kujiunga na hizi social networking hujui . kwa kweli ulimbukeni utatupeleka pabaya unachosema mkuu ni kweli hasa ukizingatia tamaduni za kwetu na huo utaratibu wa facebook na features zake ni vitu viwili tofauti . na hii ni shida kwa jamii yetu hasa kwa teenagers .facebook is very useful tool at the same time ni destructive tool hasa kwenye culture .
  wapenzi wanaoheshimiana na watu wenye hekima kamwe huwezi kukuta wanaanika ujinga huko ,inashangaza mtu kila siku anaadd marafiki mpaka mia hata kama ni social networking hujiulizii mweeh? sijui hata dhima nzima ya what's is on your mind inaeleweka vizuri vichwa mwa watumiaji wengi
  nawasilisha
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  JF kwangu ni kila kitu nikitaka, Uchumi, mapenzi, michezo, siasa, Elimu, Lugha, ucheshi n.k
  Nikienda Fb najihisi kuwa mgeni wakati huku JF ni mwenyeji.
   
 8. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kuna tofauti kubwa kati ya hizi networks mbili. kila moja inavionjo vyake. Tatizo letu sisi wa Tz FB tumeikurupukia. Achilia mbali cost ya FB kwenye mapenzi, nadhani pia inaathari pia kiuchumi, mana nimegundua kuwa muda mwingi ambao wadau wengi wanakuwa active/online ni masaa ya kazi, either kwa sababu nyumbani anakuwa na mume/mke wake au kwasababu tu anadhani ofisin ana muda wa kutosha kufanya hivyo. Tusipo kuwa makini na hizi social network incl JF, taifa litaangamia.
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  FB ni nn!!
   
 10. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hujakosea mkuu.
   
 11. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  afadhal uendelee hvyohvyo kutoitambua
   
 12. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Jaman,sio fb peke ake,kuna uozo mwingine umejaa kwenye mtandao wa www.peperonity.com.watz wanaongoza kwa kuonyesha ujinga na ulimbukeni wa sosho netweksi.
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Nina rafiki yangu (same age) afu profile photo yake ni half naked, can you imagine! She is still single na sijawahi muona na serious relationship though she is beautiful, may be ana advertise.
   
 14. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nashauri 2napo2mia hiz network 2jiulize 2napata nini na 2napoteza nini then 2fanye maamuzi ya busara.nina ndugu yangu akishaingia kwenye fb ni kutongoza na umbea inafika ha2a anasahau shughuli za muhimu..hiz network zitumike positively jaman.
   
 15. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  I thank you Gazeti, JF kila kitu, vingi vya manufaaa, fb ukizingatia wengi ni malimbukeni wanajiuza sana kupitia fb, sasa ukikuta uko in relationship na mtu, itakuletea mtafaruku mkubwa hasa ujue wengi huanika sura zao, wengine hadi na chupi tu, almost naked, imagine halafu eti mna uhusiano with such a harlot, ukiwa mshamba/limbukeni technolojia ndio itakuharibuuuuu hadi maisha yote, yaaani achactu
   
 16. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Haswa, tena wengine wapo in relationship unakuta makalio yapo nje kwenye fb ya his/her friends, huku yupo na wanaume ukiuliza utaambiwa ooohh just, friend, classmate, etc, tena anaweza sema eti kapigwa picture bila kujua, ukiona hivyo piga chini mara moja, huyo malaya, mostly hapa girls wanasifiwa hadi makalio, tits, hivi ukiwa boyfriend wake mtu anajitangaza hivyo unangoja nini? Kunguru hafugiki, fukuza, wanawake wote ni sawa, tofauti ni sura tu basi
   
 17. D

  Dr anold Member

  #17
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Do yani hapo umenena cz evem mi nimempiga marufuku my lover kuingia face bubu na thanx amenielewa. YAni hasa ma Do wamezidi bwana ua ndo wanajiuza kwa njia hiyo ili jamii hisiwagundue?
   
 18. c

  chimala Senior Member

  #18
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mmh nilipigwa vijembe vya kuosha na mpenzi kwenye update zake za FB, hapo alikuwa ameshaniondoa kwenye list ya marafiki zake, baada ya kumuadd ex wake, nakaamua kusema nae, kama kuna tatizo tuliongee hao mashost zake wa FB hawatasaidia kitu, lol kilichofatia baada ya kesema nae akaniblock kabisa, sasa siwezi kumsoma tena labda nifungue account nyingine,kabla hajaniblock nilikuwa na kiherehere cha kumsearch kila dakika na kusoma update zake hizo za vijembe roho ilikuwa inaniuma mpaka basi ila ndo hivyo nilikuwa nashindwa kujizuia, sijamuuliza mpaka leo na nimeamua kuuchuna tu nione mwisho unakuwaje, kama ni kuachana poa, nipo tayari kwa lolote
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Me nikuhakikishie kitu, japo si mtabiri. Huyo rafiki yako itamchukua anaza ten to fiften years kuolewa, labda atumie shortcut kuloga au kubambikiza mimba. Wao wanaona sifa pale wanapopata comments na friend requests nyingi (attention seekers). Wangejua kuwa guys wanacomment tu kupata one night stands wangelia.. Mshauri
   
 20. T

  The Priest JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ni abbrev. ya jina lako
   
Loading...