Jamani wana jamvi, hili linatusumbua sana. Utashangaa wakati wa uchumba na urafiki watu wanakuwa na mapenzi tele, wanakumbatiana na mengine mengi! wanapendana na kuambiana you mean the world to...
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza...
Habarini, Rafiki yangu kaniomba ushauri. Anasema wanapokuwa
kwenye chakula cha usiku Mumewe hafiki kileleni. Badala yake hutumia
masturbation ili kuweza kukidhi haja zake. Ni jambo ambalo...
Bila shaka hata wewe umeshawahi kukutana na kauli kama hii kutoka kwa wanaume, wengi wao wakiwa ni wale ambao umri unazidi kusonga lakini wakiwa bado hawajapata wenza wa kuoa na kujenga familia...
Joined JF in 1st of march year 2011...didnt know that you were a member...
Friends we became...and now something i feel for you...
Could this be true? coz everday i think of you...
Yes,its...
Natumai wote mko pouwa wapendwa wana jf!nisameheni kwa kutoonekana maeneo haya siku nyingi ila mungu ni mwema nimerudi tena,hapa simuongelei mtu wala kuigiza ila hii na yangu mwenyewe imenitokea...
41. Kupanga kwamba niki rudi nyumbani tu nitapokeana na mwenzi wangu kwa furaha ghafla unawasili unaingiwa na chuki moyoni juu yake.
42. Kuchelewa kurudi nyumbani bila sababu ya msingi (Baada ya...
Hili ni tukio la kweli juzi jumamosi saa mbili usiku,jamaa alimuaga mkewe mapema kuwa ataenda saluni kunyoa nywele akitoka kazini saa moja usiku,mkewe akamkubalia ila naye akamuomba akitoka kazini...
Habari wote,
>>>Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe,
>>>akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama
>>>kitandani.
>>>
>>>"Toka hapa nani wewe...
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha...
Juzi tulikua kwenye msiba wa Mwalimu wangu mmoja.Wakati hili likiendelea nikawa nauliza kwamba ni nini hasa kilipelekea kifo cha Mwalimu huyu.
Nikaambiwa Hospitali Docta alisema kwamba jamaa...
Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu.
Ilinichukua miezi minne tangu nionane nae mara ya mwisho.Tukiwa gest nikakuta kuna namba mbili moja...
Mpendwa msomaji hizi ni dalili kadhaa ktk nyingi kama unaona hapo iko sehemu inakugusa tafuta mahala penye huduma ya kufunguliwa upone, haya mapepo machafu yana leta hata kukufanya uwe unaishiwa...
11. Kumchukia mwenzi wako kiasi cha kutamani afe ili uoe au uolewe na mtu mwingine.
12. Kuota wanawake au wanaume wako uchi,au wewe mwenyewe kujiota ukouchi.
13. Wanandoa kuota mwanaume au...
mimi sikujua kuwa kuna vita kubwa namna hii hadi nilipoisoma hii khabari ya kuwa makanisani wanawake waliolewa wanakazi moja tu kulinda waume zao wasirubuniwe na...
Kama ulikuwa hujui, ni kwamba wanawake hupenda kuonewa wivu, lakini kwa kiasi kidogo tu. Lengo lake hasa ni kutaka kujua kama unamjali kwa kiasi gani. Wakati mnapoingia kwenye mghahawa ama kwenye...
Ningependa kutulia na kijiheshimu mpaka kipindi naingia kwenye ndoa ndo nianze "Love making",sioni umuhimu wa kuwa na gf kwa sasa sababu kunakaribisha ufanyaji wa ngono coz sihitaji kiukweli na I...
nahitaji girl atakayekuwa mke wangu kama tutaivana,,, umri kati ya miaka 20-24.....sichagui kabila dini awe mkristo ama akubali ku change kama c mkristo...awe mrefu kias c mnene wala...