Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1.unaingia kwako room kutoka kazini au masomoni nje ya nchi wakuta hali ka hii room kwako 2. wamkuta mkeo juu ya kifua cha mtu au mumeo juu ya kifua cha mtu 3. ikiwa ww ndio huyo mke...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Unafanya kazi ofisi ya selikali, bahati mbaya, mko wengi mno ikatakiwa kwenye ofisi/chumba chako mkawekewa meza mbili zinazotazamana, wewe ni mwanaume na mwingine ni mwanamke au wewe ni mwanamke...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni...
1 Reactions
122 Replies
9K Views
Habar zenu! Wan JF Kuna Mambo humu watu wanaleta na hata mtu ukifikiria unasema kweli huyu anahitaji msaada! lakini kuna mambo Mengine huwa najiuliza hvi mtu amekaa kwanza akafikiria jinsi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Zamani wakati nilipokuwa mtoto, ilikuwa ni aibu kubwa mtu kuambiwa amefumaniwa. Kama ni vijijini, wapiga ngoma wa kijijjini wakiongozwa na Manju wao walitunga nyimbo kuzungumzia jambo hilo...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Tushirikiane kumshauri mtu huyu jamani: Naomba ndugu muniombee niko kwenye majaribu makubwa hadi inafika wakati najisikia sina hata nguvu ya kuomba. Mara kwa mara huwa najiuliza kama kweli Mungu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana...
0 Reactions
105 Replies
8K Views
Najiuliza ninani mwalimu wangu wa mapenzi jibu sina na simjui!ajabu nakutana na mwanamke najipanga kaama naenda vitani nikikutana naye kwajinsi navyo mshushia misitari hata mimi ninashanga je...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
hili swali linahitaji majibu yenu wana MMU
0 Reactions
61 Replies
16K Views
Wana JF hivi hili suala la kuasili mtoto (nadhani ndicho kiswahili chake? i stand to be corrected) au adoption kwa Kiingereza kwa hapa kwetu hali ikoje? sheria/sera (kama zipo) zinasemaje? Je...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
What causes divorce? Seems like a complicated question, but in reality, it is quite simple. Researchers like Drs. Scott Stanley, Howard Markman, and John Gottman have all discovered bascially...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CLEAVING AND LEAVING - Marriage Message #167 Some spouses set themselves up to leave their marriages because they never properly "cleaved" to their spouse in the first place. The Bible says in...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaani ukisikia stori za kinamama wanavyokwenda kwa Kalumanzila utachoka kabisa.Kusema kweli kinababa sijui huwa tunalishwa uchafu kiasi gani.Wengine nasikia wanawapikia waume zao kwa maji...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
"uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea uhai wa mtu mwengine" mimi nani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Swali linanitatiza, jawabu natafutia, Nimebaki ninawaza, nani atanipatia, Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia, Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba? Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a...
1 Reactions
30 Replies
18K Views
HOME INTERNAL MEMO FROM: FATHER TO: ALL DE PENDANTS AND RELATIVES CC: MOTHER DATE: TODAY ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES Due to the current economic...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
hivi jaman unaweza ukamsameh rafik yak kw kutembea n y boy??
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom