Kweli nimekutana na tapeli wa mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli nimekutana na tapeli wa mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CHIPANJE, Oct 5, 2011.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu.

  Ilinichukua miezi minne tangu nionane nae mara ya mwisho.Tukiwa gest nikakuta kuna namba mbili moja kasevu LOVE na nyingine SWEET.Namba hizi zote ni za mwanamme mmoja anatumia mitandao miwili tofauti.

  Nilipomuliza alikiri,na kuomba msamaha mimi nikakubali.

  Cha ajabu siku nyingi baadae akanipigia simu kidume wake akanichimba mkwala,na pia alimfosi demu wangu aongee mbele yangu kua hanitaki,kweli alifanya hivyo.Nami nikwamwambia sawa.Hatimaye akanambia nisimpigie simu.Lakini nashangaa yeye ndo amekua wa kwanza kunipigia,kunitumia meseji na kuniomba hela na wakati mwingine anajifanya ananisalimia.Je!Nimjulishe mtu wake?
   
 2. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umjulishe mtu wake ili iweje?deal na huyo msichana wako kwa kumpa onyo na kutoendekeza tena hizo simu zake.Pole
   
 3. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyo m2 wake hajamtuma dem akupigie infact ndio alimwambia dem akukane naye akafanya ivo.ivi kweli bado unaomba uambiwe nini cha kufanya apo?
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kuna vitu vingine inatakiwa utumie akiliza kawaida kabisa......hupaswi hata kupelekwa chekechea ili ufanye maamuzi ya jambo hili.......kama mwanzo alikiri na kukuomba msamaha, halafu mtu wake akakupiga mkwara na demu wako nae akapigilia msumari......bado unatafuta nini hapo??!!!
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sitaki kuamini kuwa aLimfosi huyo demu wako akukatae,ila naamini kuwa huyo demu alifanya hivyo kwa hiari yake mwenyewe baada ya kukubaliana na huyo mr wake mpya,
  CHA KUFANYA,WEWE TAFUTA NJIA YAKO,HUYO DEMU ASHAKUONA UNAMPENDA,WAKATI YEYE YUPO NA MWINGINE SO ANATAKA KUKUGEUZA MRADI WAKE,SEPA...
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  move on she doesn't deserve you..........................you are worth much more than loitering around with fools...............hili la kujibizana na wapumbavu linamaanisha hata wewe una matatizo........................umedhalilishwa lakini bado unajikaza kisabuni....................achana nao wapumbavu hao......................
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Waliosema usemayo yanakuelezea ulivyo hawakukosea.
  OTIS.
   
 8. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,398
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Amin amin nakuambia huyo binti hakuwa na chembe hata kidogo ya mapenzi na wewe,alichokuwa anakifanya kwako ni kama ofisi tuu,yaani kuja kukuchuna na kwenda kutumia na mwanaume mwenzako,mabinti wa dizaini hiyo wapo wengi,yaani wanakuwa na mwanaume wanayempenda kweli lkn hana kitu,hivyo wanatumia miili yao kuwatafutia pesa ving'asti wao.Pole sana kaka!!!
   
 9. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaa mbali naye
  huyo ni adui wako mkuu
  achana naye kabisa
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ujinga mwingine
  wanaume tunaukaribisha wenyewe, na mtu akijua huna akili
  anaishia kukushika masikio
  mkuu hicho ni kicheche tu achana nachon na viko vingi sana humu tunamoishi
  mtafute dada yeyote amsemee mbovu kama alivofanya jamaa yake halafu mpotezee jumla
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  uzuzumagic wako ndio adui wako
   
 12. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Du,ahsnte yan bonge ushauri!
   
 13. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Poa,kaka bonge faraja umenipa!
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Chamsingi nikuachana nae,sidhani kama unamda mchafu kama huo wakutafuta mdada mwengine ampigie cm mbona wako wazuri kuliko yeye,na ukimnya wako ndio itakua dawa nzuri zaidi yeye kama mshenzi ww kua mungwana.....
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,087
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  na kupewa vipande vyako na huyo mume mwenzako lakini bado unakuja jf kuomba ushauri, looooooooo, why????????????
   
 16. Shostito

  Shostito Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kuna wakaka wengine hawa misimamo.
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mlikuwa gesti kufanya nini na mwanamke uliyepanga kuoana naye? Lazima upate mateso kwa makosa unayoyafanya.
   
 18. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Demu unayekutana naye gesti asitahiri kuwa mke wako.Huyo muweke kama akiba wa kuokoa jahazi wakati mambo si mambo.Gest .? tena uchochoroni.?Na we demu unayeperekwa gest.?
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  sichoki kurudia hii: 'advice is what we ask for when we know exactly what to do bt dont wanna do it'. wewe ulikua unataka kufanyaje? ukumbuke mkwala uliochimbiwa na mwanaume mwenzio akiwa na huyo dada (sijui alikua kamteka nyara na kumshikia mtutu?). kama una hobby ya wrestling, endelea nae. mpe na atm card akae nayo ili asisumbuke kukutafuta.
   
 20. j

  jadia Senior Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi nadhani huna haja ya kusumbuliwa na huyo dada, concentrate kwenye kazi zako mshit mpaka ajione kajipaka mavi, mwombe mungu akupe mwanamke anayekustahili mana huyo hakustahili hata kidogo
   
Loading...