Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hivi jaman unaweza ukamsameh rafik yak kw kutembea n y boy??
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Labda leo niwaulize wana JF wenzangu..................... 1. Matusi ni nini? 2. Nani alikuambia kwamba kuna matusi, au ni nani alikufundisha matusi? 3. Matusi yana athari yoyote? 5. Zipi hizo...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
4 HAPPY MARRIAGE. 1.never both be angry at the same time 2.never yell at each other unless the house is on fire 3.if one of you has 2 win an argument,let it be your mate 4.if you have 2 criticize...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu,anapenda kwenda uvunguni hadi aibu.Amemaliza masomo yake UDOM mwaka huu. Kwakua maisha ya mtaani ni magumu,akaomba tempo kufundisha katika shule moja inaitwa brain trust mjini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemzidi kisomo mtu ambae ananipenda na kunijali sana na namuona ananifaa kuwa mwenza wangu maishani, mimi nakaribia pata mastesr wakati mwenzangu hata certificate hana. Ila ni mtu ambae...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu wapenzi wangu woote! Hivi ni kwa vipi starehe inaweza kuwa kikwazo katika ndoa? Starehe ninazozungumzia hapa ni pombe na club. Inawezekana kwako isiwe starehe ila kwa mwingine ni...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mzee mmoja amedai kuwa amechoshwa na tabia ya mke wake ya kudekeza watoto mpaka wanataka kuharibika. Amesema anakelwa na mengi toka kwa wife wake hadi kuna siku aliamua kuchukua cheti cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Hi jf members, jamani juzi nipo na mzee mmoja analalamika eti watoto wake hawana msaada. Nikagundua kwamba tunazaa tu ila watoto ni "liabilities" and not assets. Yaani huwezi rejesha gharama zako...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau nimevumilia tabia kwa muda mrefu tabia hii ya wakina dada ya kutikisa makalio pale waonapo wanaume wengi tumekaa,saa nauliza lengo ni kututia hamasa au tuone maumbile yao.?
0 Reactions
106 Replies
15K Views
Kuna watu wameoa wake au kuolewa na waume ambao ni vichaa au baada ya kuoana wamekuwa vichaa, lakini watu hao wameendelea kuishi na hao wapenzi wao kwa Amani tu na kuwapenda. Huo ndio unaoitwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie wana JF,hawa mabint wa kimanyeama wanatabia gan?
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Ni mawazo gani ya kwanza yanayokujia kichwani juu ya moja au baadhi ya mambo kati ya haya yanapotekea juu ya mme/mke/mpenzi wako? Unapiga simu hata mara tano, haipokelewi... Unapiga simu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mumeo anatoka safarini unapotoa nguo kwa sanduku unakutana na chupi iliyochokachoka ambayo si yako. Ukiwa mwanandoa utafanyaje?
0 Reactions
41 Replies
5K Views
nasikiliza kipindikimoja wanadai wanaofanza duty za usikukurudi asbh wengi wamepoteza imani kama awapo kwenye ndoa na hata waliopo wanaishi kwa matumaini ukiwa kama mwanandoa siongeleei...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom