Kutendwa mara ya kwanza kunauma zaidi...

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
Ni ni hard kuvumilia hayo
na kutendwa hakuvumiliki kabisa mkuu
Ni hard kuexperience kutendwa kwa namna yoyote ile
 
peter mashaka

Member
Sep 9, 2011
11
3
machungu hayazoeleki, epuka kutendwa. tenda kabla ya kutendwa. soma alama za nyakati, ukiona dalili tenda haraka ili utangaze ushindi ingawa inauma.
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,745
7,760
This is fact. The more you get used to "kutendwa", the less painful it becomes...

...i disagree ....!
labda mwenzenu napenda tofauti na wenzangu...
it hurts the same bana...unless huingii mzima mzima kama nifanyavyo [ninavyokosea?]...
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,296
Kwa sie ambae we always LOVE the same way with both our feet hapo... It pains the same way, if possible mo'

Unajua kwa wanaume kuna msemo (nadhani hata kwa wanawake unaapply) kuwa wanawake ukishawazoea hawakusumbui. Ila ukijifanya loverboy, utaumbuka...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,296

...i disagree ....!
labda mwenzenu napenda tofauti na wenzangu...
it hurts the same bana...unless huingii mzima mzima kama nifanyavyo [ninavyokosea?]...

Kusema cha ukweli mkuu (kwa maoni yangu), unakosea. Kuna mambo ya kuamini 100%, sio mwanamke...
take them easy, take them simple...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,745
7,760
Kusema cha ukweli mkuu (kwa maoni yangu), unakosea. Kuna mambo ya kuamini 100%, sio mwanamke...
take them easy, take them simple...

...dahhh, nisipompenda na kumuamini mwanamke wangu nitampenda nani tena jamani,...
bahati mbaya/nzuri,...heartbreaks zangu zote makosa hayafanani...

inajionyesha wazi they are not the same... ila the last in line kwakweli amenitenda mbaya sana...nimeingia akili.
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,296

...dahhh, nisipompenda na kumuamini mwanamke wangu nitampenda nani tena jamani,...
bahati mbaya/nzuri,...heartbreaks zangu zote makosa hayafanani...

inajionyesha wazi they are not the same... ila the last in line kwakweli amenitenda mbaya sana...nimeingia akili.

Wanasema mtu ujifunze kutokana na makosa yako...
Lakini inatakiwa pia ujifunze kutokana na makosa ya wenzio, maana unaweza usiishi mda wa kutosha kutenda makosa yote wewe mwenyewe...

Mkuu mimi japo sina cha kumhofia au kumtilia shaka, lakini nilikopita na nilikoona wenzangu wamepita imenifanya huu moyo niuachie nafasi kidogo ya "kupumua", maana nikijaza fulu, sijui leo na kesho...
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,987
Unajua kwa wanaume kuna msemo (nadhani hata kwa wanawake unaapply) kuwa wanawake ukishawazoea hawakusumbui. Ila ukijifanya loverboy, utaumbuka...

Hiyo ni misemo ikisimamia wale ambao sio wa muhimu kama vile one night stands... Hapa nasemea ile falling in love... Tuko Moyo ambao mwenyezi Mungu kaujalia kupenda.. hupenda again and again and again, hivo hizo heartbreaks zikitokea waumia... Na post yangu ya kwanza nasema yawezekana more tokana na the simple fact kua unapo fall in love when young kidogo uko stupid hivi... Ukiwa grown up you fall in love maturely - thus bana yakivunjika hapo..... Dah!
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,745
7,760
...naam, naam...ila wengine au mimi labda nimejaaliwa roho ya ubishi...hata nitendwe vipi bado nakaji reserve ka kumpenda mwingine...maisha yenyewe mafupi haya, acha tu nitupe karata yangu kumpenda nimpendae,...

...ikitokezea siku naye akanitenda sitaona ajabu sana...maana naamini kabisaa hataweza nitenda kama huyo aliyepita, labda anitoe roho yangu...[labda hapa nitakubaliana nawe---less painful- heartbreak ikishazoeleka japo i doubt!]
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,296
Hiyo ni misemo ikisimamia wale ambao sio wa muhimu kama vile one night stands... Hapa nasemea ile falling in love... Tuko Moyo ambao mwenyezi Mungu kaujalia kupenda.. hupenda again and again and again, hivo hizo heartbreaks zikitokea waumia... Na post yangu ya kwanza nasema yawezekana more tokana na the simple fact kua unapo fall in love when young kidogo uko stupid hivi... Ukiwa grown up you fall in love maturely - thus bana yakivunjika hapo..... Dah!

na kuwa mature ndio unatakiwa u fall in love more carefully... sio kichwa, na kiwiliwili, na mikono na miguu...
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom