Simu kujipiga yafichua siri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu kujipiga yafichua siri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mike 1234, Oct 3, 2011.

 1. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hili ni tukio la kweli juzi jumamosi saa mbili usiku,jamaa alimuaga mkewe mapema kuwa ataenda saluni kunyoa nywele akitoka kazini saa moja usiku,mkewe akamkubalia ila naye akamuomba akitoka kazini kwake anaomba naye apitie saluni jamaa naye kamkubalia mkewe, ilipofika saa moja na nusu jamaa akawa hajamaliza kazi zake ofisini akaona asiende tena sinza kunyoa,ilipofika saa mbili akmpigia mkewe na kumfahamisha kuwa haendi tena sinza kunyoa atarudi nyumbani hivyo amwambia mkewe asiende tena salon ya mbali aje ya karibu na nyumbani mama akakubali,baada ya dakika tano anaona mkewe anampigia akapokea akasikia mkewe naongea na simu nyingine na nimwanaume,alimwambia baba.........kaniambia nisije tena huko hivyo atuwezi kuonana tena leo,jamaa akatulia tuli kusikiliza mama akendelea kuongea na huyo jamaa yake bila mkewe kujua simu ya pili imejipiga,mama akaendelea kusema unajua max na kupenda sana mume wangu leo nilikuwa nimeamua nikupe penzi langu lote,ila njoo nitaenda salun ya hapa karibu,jamaa kusikia hiyo akapanic na kukata simu na kumpigia mkewe kumweleza alichokisika,mkewe alichanganyikiwa na salun hakwenda tena,akaenda moja kwa moja nyumbani kusubiri hukumu,jamaa alipofika vita ikaanza kwa kumbana mkewe tena wa ndoa amweleze ukweli kuhusu huyo jamaa,mama aweka mambo wazi kuwa huyo jamaa walikutana mlimanicity kama miezi 6 imepita na analimuhonga gari aina ya hopa akaikataa na hajawahi kumpa penzi,ila siku hiyo yangetimia,mama kaomba sana msamaha na kwamba hatarudia tena,sasa kaja kwangu kama msimamizi wa ndoa afanyeje amsamehe au ampe kilicho chake aanze mbele,na mimi nimelileta kwenu wanajf mnishauri cha kumweleza huyu jamaa yangu.asanteni
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh haya masuala ya ndoa haya duh ni balaa
  Ni jambo ambalo kwa kweli ni ngumu kuamuaJe anayoyasema yana uhakika gani kuwa hawajawahi kukutana na nani ana uhakika kuwa hawajakutana
  Maana kwa mwelezo ya huyo dada kwa jamaa yake wa pembeni hayaonyeshi kuwa ndio kwanza wamefahamiana ila wana mahusiano na mawasiliano ya karibu
  Ni jambo la busara kwa familia kukaa na kuangalia kama wana watoto japo kw amume uaminifu kwa mkewe umepungua ila kwa kweli ni pagumu sana
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh! aibu!!!
  sasa mwanwane hapa wewe mwambie jamaa kuwa ndoa imekisha hapa becoz hamuna tena trust......
  sasaumesema hawa ni mwanandoa kama wana watoto basi wasisemi wakae pamoja kwa sababu yao.....la singi hapa nikuwa wastaarabu wakubaliane na mkeo jinsi watakavyolea hao watoto basi ila hapa ndoa hakuna tena!!!
   
 4. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndo hapo sasa hajajua kama hawajawahi au la!ila ni kweli uaminifu kwa mkewe ndo hivyo tena
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni pagumu sana na mke kumuhakikishia mumewe kuwa hawajawahi kulala pamoja na huyo jamaa ni pagumu
  Maana the way inavyooonekana ni kuwa wana ukaribu sana na wali[anga mapema kuwa wakutane
  Na hata kufikia kuhongana gari ina maana there is a lot between
  Maana mwanaume hawezi kukuhonga gari wakati hata mzigo hujatoa
   
 6. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanamtoto mmoja yupo darasa la nne baba mtu anampenda mwanae ile mbaya
   
 7. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ingekuwa campaign Igunga ndo zinaanza ningemshauri huyo jamaa aende huko hata week tu "akapumzike"...............

  Hizi ndoa zina mambo ya ajabu sana. Kuna tatizo hapo, maana huyo mke anasema ANGEMPA PENZI LOTE huyo jamaa (wa nje). Sidhani km huo msamaha alioomba unatoka moyoni. Ashalamba asali huyo. La msingi jamaa akae na huyo mkewe na kutafuta root cause of that marital infidelity. Wazungumze, wasisubiri matangazo ya wamarekani redioni ya kaa na mwenzio......... Waweza kuta ni kitu kinachoweza badilisha maisha yao kbs.....
   
 8. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ingekuwa campaign Igunga ndo zinaanza ningemshauri huyo jamaa aende huko hata week tu "akapumzike"...............

  Hizi ndoa zina mambo ya ajabu sana. Kuna tatizo hapo, maana huyo mke anasema ANGEMPA PENZI LOTE huyo jamaa (wa nje). Sidhani km huo msamaha alioomba unatoka moyoni. Ashalamba asali huyo. La msingi jamaa akae na huyo mkewe na kutafuta root cause of that marital infidelity. Wazungumze, wasisubiri matangazo ya wamarekani redioni ya kaa na mwenzio......... Waweza kuta ni kitu kinachoweza badilisha maisha yao kbs.....
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Na hapa unaweza kukuta penzi kwa mume lishaoindoka muda mrefu yaani yupo na mume aliye nae kama kutimiza wajibu tuu penzi liko kwa jamaa wa nje huko
   
 10. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hilo la kuhonga gari jamaa ndo analo litilia shaka ila yeye kamwambia ni kwakuwa alikuwa anamshauri kwenye maswala ya vipodozi,maana walikutana mlimanicity kwenye duka la vipodozi,jamaa huyo ndo biashara yake sasa alimsikia huyo mke wajamaa akitaja vitu vya urembo ndo kumuomba ushauri kwamba dukani kwake aweke vitu vya aina gani vinavyo pendwa sana ndipo akamtajia,na kupeana number,ni kweli mke wa jamaa nidecorator mzuri sana,mambo ya urembo anayajua,anasema jamaa alivyoona mafanikio ndo akaamua kumzawadia gari,naye akalikataa
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Mkuu akili kichwani mwako
  Kuzawadiwa gari kwa sababu tuu ni decorator mzuri au anajua sana kufanya biashara ya vipodozi
  Kama ingekuwa hivyo wanawake wengi wangekuwa wanaendesha magari barabarani maana wako wengi kwenye sector hizo mkuu
   
 12. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naona hiyo ndo gear ya huyo jamaa kumpata maana alijua kabisa ni mke wa mtu na uwezo anao ndo akamwingia kwa gear hiyo,sijui naomba ushauri afanyeje?kwa mimi naona kama ndoa hamna vile
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  It was a plan and alikataa tuu ili asije kuulizwa gari umepata wapi
  Mkuu hapo waangalie tuu ustaraabu mwingine wa nini cha kufanya kuiokoa ndoa yao
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Ameshaomba msamahaa na nikosa la ngapi la aina hiyo? Amsamehe kama alivyoomba msamaha!
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  arghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!

  Tunajadili the obvious! nimtakie pole na kumwomba apige moyo konde aendelee na maisha yake
   
 16. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hili suala ni gumu sana
  si la kukurupuka jamani
  utulivu wa moyo ni muhimu
  msongo wa mawazo utulizwe kwanza
  anastahili kupewa likizo ili apumzike na arelax vya kwanza maana hatakuja kumwamini tena wife wake
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Amsamehe tu waendelee na maisha.
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa nini wewe uwaambie chakufanya? hujui mtu akiomba ushauri ni backup anatafuta ila uamuzi amesha chukua?
  Kwanza: we waweke pamoja uwaulize maswali fulani fulani
  Pili: baada ya saa 2 wape ushauri mzito kuhusu hali yetu ya ubinadamu kutokua kamilifu, wakumbushe walikubali kukaa pamoja hadi kifo kitakapo watenganisha na kadhalika.
  Tatu: maliza kwa kuwaambia: sasa tumejua ukweli uko wapi nataka kujua: wewe mume bado unampenda mke wako na uko tayari kumsamehe? na wewe mke: unakubali ulio fanya ni kosa kubwa sana na unaahidi hauto rudi tena?
  Hapo wakiamua A au B hakuna kusema wewe ndio uliwatenganisha sababu unawapa nafasi yakujiamulia wenyewe. Ila kila mara egemea upande wa kusameeana kuliko upande wa kutengaana
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Dah! nitarudi kucomment mana ninastress za igunga nashindwa ht kucomment.
   
 20. S

  Sgaga Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chukua hii
  Huyo ameshakazwa haina ubishi,kama mme wako naye siyo mwingi wa kazi za nje yaani ametulia kabsa na mmke wake,siyo ujinga kuanza moja apige chini mapema 2 coz tayari jamaa hatakuwa vzr kichwani na hatomuamin tena huyo,ila kama naye anapiga mambo yetu yale nje ya ndoa basi ngoma droo wayamallize tuu
   
Loading...