Ushauri wenu unahitajika!

Mcharuko

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Messages
207
Likes
43
Points
45
Mcharuko

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2011
207 43 45
Habarini, Rafiki yangu kaniomba ushauri. Anasema wanapokuwa
kwenye chakula cha usiku Mumewe hafiki kileleni. Badala yake hutumia
masturbation ili kuweza kukidhi haja zake. Ni jambo ambalo linamuhuzunisha
anajaribu kumuuliza mumewe kama hamridhishi but anamjibu kuwa
amezoea. Ndoa yao ina miezi mitatu tu lakini hilo tatizo limezusha mtafaruku
Je, ni kweli huyu Jamaa hampendi mkewe ndio maana inatokea hivyo?
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,835
Likes
23,069
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,835 23,069 280
karibu mcharuko........lol
 
Kayoka

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
1,491
Likes
225
Points
160
Age
28
Kayoka

Kayoka

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
1,491 225 160
Mcharuko mbona unafíchaficha mambo kama ni wewe sema tu na wala hainaga shida.? Solution hapo ni kuchange maegesho ya magari ama unatakiwa kujaribu kubadilisha mapishi au jinsi ya kula hicho chakula na bila kusahau kubadilisha mikao ya kula hiyo nyama ikibidi hata peleka tonge kule kwenye tope(puani) bila kuogopa makamasi mwisho wake utasikia utamu sana kucheua haraka tu yale maziwa matakatifu nido..?
 
GAZETI

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
4,477
Likes
2,848
Points
280
GAZETI

GAZETI

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
4,477 2,848 280
Mcharuko mbona unafíchaficha mambo kama ni wewe sema tu na wala hainaga shida.? Solution hapo ni kuchange maegesho ya magari ama unatakiwa kujaribu kubadilisha mapishi au jinsi ya kula hicho chakula na bila kusahau kubadilisha mikao ya kula hiyo nyama ikibidi hata peleka tonge kule kwenye tope(puani) bila kuogopa makamasi mwisho wake utasikia utamu sana kucheua haraka tu yale maziwa matakatifu nido..?
Mh! Mwee!
 
Mcharuko

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Messages
207
Likes
43
Points
45
Mcharuko

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2011
207 43 45
Mcharuko mbona unafíchaficha mambo kama ni wewe sema tu na wala hainaga shida.? Solution hapo ni kuchange maegesho ya magari ama unatakiwa kujaribu kubadilisha mapishi au jinsi ya kula hicho chakula na bila kusahau kubadilisha mikao ya kula hiyo nyama ikibidi hata peleka tonge kule kwenye tope(puani) bila kuogopa makamasi mwisho wake utasikia utamu sana kucheua haraka tu yale maziwa matakatifu nido..?
Sio mimi. Mengi kayafanya isipokuwa imeshindikana.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,993
Likes
6,403
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,993 6,403 280
wakati wa uchumba alikua anafika au?
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,107
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,107 280
mwambie wadivorce then aoe SABUNI ka vp
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
416
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 416 180
Huwezi kuamini lakini nina rafiki zangu kama watatu ambao kutokana na kuzoea sana masterb, hata baada ya kuoa waliendelea na mchezo huo. hata hivyo baadae walikuja kuacha, japo ilichukua mda, na mmoja wao anasema hadi sasa (miaka zaidi ya minne), anajikumbushia kidogo kidogo. So, rafiki yako asijisikie vibaya sana, bali ajifunze maufundi ya kumpagawisha na kumchosha mumewe... Nadhani huyo rafiki yako ana tatizo la kiufundi...
 
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,797
Likes
545
Points
280
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,797 545 280
mcharuko mbona unafíchaficha mambo kama ni wewe sema tu na wala hainaga shida.? Solution hapo ni kuchange maegesho ya magari ama unatakiwa kujaribu kubadilisha mapishi au jinsi ya kula hicho chakula na bila kusahau kubadilisha mikao ya kula hiyo nyama ikibidi hata peleka tonge kule kwenye tope(puani) bila kuogopa makamasi mwisho wake utasikia utamu sana kucheua haraka tu yale maziwa matakatifu nido..?
hapo kwenye red ushauri huo sikubaliani nao kabisa, mcharuko hilo la huyu jamaa weka pembeni, nahisi huyu ni wale wale mateja wa mtandao wa tigo.
 
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,343
Likes
80
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,343 80 0
jf kaaaaaazi kweli kweli....
 
Forum statistics

Threads 1,215,462
Members 463,210
Posts 28,549,649