Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,098
- 165,911
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha kulainisha njia.