Dalili za mapepo mahaba-part 5

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
182
41. Kupanga kwamba niki rudi nyumbani tu nitapokeana na mwenzi wangu kwa furaha ghafla unawasili unaingiwa na chuki moyoni juu yake.
42. Kuchelewa kurudi nyumbani bila sababu ya msingi (Baada ya ndoa mwenzi wako anabadili tabia ghafla).
Sura yako kuonekana mzee kuliko umri wako.
43. Kutokwa damu sana au kwa muda mrefu wakati wa hedhi kukiambatana na maumivu makali (maranyingine siku zinzkuwa za mvurugiko mvurugiko).
44. Unakuwa na roho ya liwalo na liwe hujali ndoa yako hata ukishauriwa hushauriki.
45. Kutokupata mimba katika ndoa yako hata vipimo vya kidaktari vikionyesha huna tatizo au kuharibika mimba mara kwa mara.
46. kutengana kwa wana ndoa hata ingawa mnakaa nyumba mmoja (mzungu wa nne) kila mtu ana chumba chake.
47. Tumbo lako kuonekana unamimba hata watu wana kuona hivyo wakati hauna.
48. Matiti kutoa maziwa wakati huna mimba wala mtoto.
49. Kujisikia mjeuri,hasira,ukaidi kutokuelewana ktk ndoa.
50. Kuonywa na mtu ktk ndoto kwamba hutaolewa.
51. Udhihirisho wa wazi wa mapepo mahaba wakati wa usiku
52. Kukumbuka mahusiano ya mapenzi na rafiki zako wa zamani wakati una mkeo / mumeo kitandani.
53. Kujichua au kujiridhisha mwenyewe bila mwenzi usiku au bafuni.
 
47. Tumbo lako kuonekana unamimba hata watu wana kuona hivyo wakati hauna.
48. Matiti kutoa maziwa wakati huna mimba wala mtoto.
#47 Inamaanisha nini i think baada ya tumbo kuwa kubwa inakuwa umemzalia hilo jipepo kiukweli na maziwa yanayotoka unakuwa unanyonyesha sio?
Hii ni hatari dawa ni damu ya Yesu kwa wamuaminia wataokoka kwa kweli .
 
mkuu ungeunganisha hizi parts zote kwenye post moja ingerahisisha kwa wale wanaotaka kusoma
 
Hivi yule Sheikh mnajimu maarufu si alishafariki?.,hawa wengine wanatoka wapi tena yailah
 
Back
Top Bottom