Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Wanajamvi kwa hili mnanishaurije,kuna girl nilikuwa nafanya naye dating,halafu kweli kama amenipenda,sasa juzi usiku nikiwa skype nilijiweka invisible,sijui alifanyaje kosa akaniadd kwenye skype chatting group,kumbe aliniadd kwenye conversation yake na mwingine bila yeye kujua,nikawa nawasikia jinsi wanavyofanya mahaba,mara wakaanza kuvua nguo na kuonyesheana maumbile kwenye video skype huku wakifanya romance,yaani wote walikuwa ktk hali ya utupu bila nguo,hawakujua kwamba mi nawaona kwenye video,wao hawakuweza kuniona coz sikuweka webcam kwenye desktop,huyo msichana bado anaendelea kuniambia ananipenda kama kawaida na wala hajastukia chochote,na mi nimeamua kumpiga chini,sasa nimwambie kosa lake au nimpuuzie tu?